NJE YA MLANGO WANGU JAMANI SNOW ILIYONYESHA SI YA DUNIA HII,,
SIKU YULE KIRANGA ALISHINDA SNOW ILINYESHA,BUSSES,AIRPLANE AND TRAINS WERE CANCELLED MAGARI BARABARANI NDIO USISEME,,
7 comments:
Tabi
said...
Jamani it's too much poleni Nuru wangu,hizo pic zimenifanya tumbo limekua baridii manake hii sehem nilipo ikianza kushuka ni balaa,take care....
Duu hili balaa liki komaa mbona noumaa... Chambo chako naona nikipata mwanya kabla ya Christmas begi liko kichwani.. Kiatu kimetulia mno, Nice shoes!! AM...
7 comments:
Jamani it's too much poleni Nuru wangu,hizo pic zimenifanya tumbo limekua baridii manake hii sehem nilipo ikianza kushuka ni balaa,take care....
NINAANZAKUWEKAMIKAKATINIIKIMBIE.COM MAANA,,,
Poleni sana nasie "Urangani" inasemekana mwaka huu itapiga si mchezo hapa bado fall lakini tushaanza kuona chamoto...CinTea
Hapo ndipo mbele kumenshinda
Poleni sana. Mungu yuko nanyi
Duu hili balaa liki komaa mbona noumaa...
Chambo chako naona nikipata mwanya kabla ya Christmas begi liko kichwani..
Kiatu kimetulia mno, Nice shoes!!
AM...
Hicho kiatu safi na baridi...pole Nuru
Post a Comment