Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, November 14, 2016

CALISAH!!!



3 comments:

sosoano said...

da nuu ina mana kulikuwa na mtu wa 3 wakati wananinuliuuuuu (nimenukuu maneno ya calisa)
da nuu fanya uweke vile kikatuni bana mana sio kwa utamu huu
tena waambie wakuwekee na huyu chura mnywa chai
naona dairecta alisema cuuuuuuuuuuuttttttttttt! ndio hayo calisa yakamkuta

Unknown said...

Ukipenda kujulikana na ujue kudili na watu uliotaka wakujue na ujue kuna muda watakufurahisha na ujue kuna muda watakuudhi so ujue kukabiliana na hivyo vitu vyote, usitegemee kufurahi kila siku maana watu tunatofautiana mawazo, akili, muonekano na kila kitu. Poyeee calisah bongo daslaam mvua na baridi ikizidi tunavaa majaketi tunaendelea na kazi. Kule kwa akina Nuru Snow ikizidi ndio hivyo tena na kahawa juu.

Bintinyota said...

What goes around