Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, November 14, 2016

Basi Sawa!!!

10 comments:

grayce gracious said...

mmmh bongo daslam patamu. sasa Calisa alivyovuta lips za wema sasa duuuuuh hilo kiss la mwendo kasiiiiiiiiiii

Cute Olive said...

Mambo mengine ni aibuu jamani duh!

SUZANA ANORD said...

mi naomba kuuliza kwani wema wakati anapigwa picha alikuwa amewekewea macho ya ya kuchora mpaka asione kuwa anapigwa piha na kuja kumtukana kjana wa watu, alivyomvulia nguo hakuwa na akili timamu
aache ujinga wake sasa mana mwenzie katumia nafasi vzr
hahahha!!!! always remember kikulacho kinguoni mwako

i need mwarobaini tea da nuu

Anonymous said...

Wema na hivi vibraza men sijui atakoma navyo lini...ona sasa juzi juzi alibeba mimba ya checkibob idriss leo yuko na huyu drylips, kesho sijui yupi tena,kiruuu

Bintinyota said...

Duh huyu demu kumbe kilaza

Anonymous said...

Maybe something wrong somewhere.... Am speechless....
Nilisema hapa juzi tuu huyu dada anapokwendea atakuwa teja... Huu ujinga si wa Dunia hii.
Wapi Quality yako wewe mtoto wa kike?????
AM....

Tabi said...

jamani huyu mdada si ajaribu kuishi maisha yake private kidogo..khaa aibu tupu,ngoja mie nikachemshe chai yangu ya mchai chai

Anonymous said...

hahahahahahahahah!!!! Tabi
Mchai chai, unanukiaje vizuri....
AM...

comfort said...

Chei!

Anonymous said...

She might have daddy issues... either way it don't mataaaaaaa... I still got bills to pay!!