Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, October 18, 2016

YALIYOJIRI!!!



I hate to be negative lakini this is not negativty Bali kuelimisha.
Naanza kwanza kumpongeza huyu mtoto kwa kipaji alichokuwa nacho ila Ningependa kuona anafanyiwa vya maana mapema kuliko vitu  visivyo na mantik.
Hivi mnajua wenzenu Ulaya hufanya nini kwa watoto wa kaliber ya aina hii well usually wanawatafutia shule yenye level yao ili azidi hapo alipokuwa.
Huwa wanatafutiwa a special program ili aweze kuwa stimulated kuwa zaidi ya hii kwa kesho na miaka mingi ijayo,kiufupi wanamuandaa kwa baadae.
Sasa leo siku nzima nimeona different videos zikisurface kuhusu huyu mtoto.
Naomba mnielewe na nieleweke kuwa kufanya a segment kuonyesha Tanzania huyu mtoto sio kitu kibaya ila kumbukeni kuwa mwisho wa siku huyu bado ni mtoto.
Kama Media outlets  mna responsibility ya kumlinda wakati mnamfanyia interview sasa hapo mtoto unamsikia kabisa anajibu na kukwambia imetosha bado mnanga!ang!ania kumuuliza na kumvuta Come on lini mtakuwa na uelewa wa kudeal na watu mnaowafanyia mahojiano let alone watoto?
Where is their dignity na nani anazingatia hilo?
Hapa nalaumu wazazi pia tena nyie ndio zaidi  kwani mnatakiwa kumprotect mtoto wenu period,huyo ni malaika Who happens to be very smart na sio MAONYESHO!
Lazima MJUE tofauti ya kuelimisha,kuripoti na kuexploit kitu na hapa iko wazi kabisaaaa kuwa mnamuexploit huyo mtoto aisee bado mpo nyuma kwa vingi.
Mzungu akiona mwanae kwenye tv huwa anajiuliza je nafanya nini akiwa na wasiwasi while mwafrika atapigia mtaa mzima na nusu ya nchi simu na swali  je mmemuona mwanangu kwenye tv?
Kiukweli nikiona kitu kama hiki huwa Nasikitika mno kwani hata vyombo vyetu vya habari bado viko nyuma sana kwenye kuripoti vitu mbali mbali,nimemaliza.com!

7 comments:

Anonymous said...

Well said Nuru, I strongly agree. Winnie

Anonymous said...

exactly my thoughts,

the problem is with the parents to be precise, daaahh that kid needs to be guided and protected, not meant to be a show off. he is just a kid for God's sake. hata kuongea vizuri bado hajaweza maskini. smh

Winnielicious said...

wasisahau kumuandaa kisaikolojia kuwa umaarufuu huja na karaa nyingi sana....na sijui kama wote ( wazazi na mtoto ) wamejiandaa kudeal na hizo karaaa

Anonymous said...

Nuru, I support you. Imagine the kid was telling them it's enough, but the man was contiuning asking. What the hell was this man thinking

anonymus said...

Wazazi nao walaumie maana wanaona kama ngekewa..kumchkoresha mtoto hovyo halafu mwelekeo hawajamuandalia.asije akaishia kama kina sheikh Sharif.MWAMINI

Bintinyota said...

I salute you hun. Niliyasema ofcn watu wakani crush

Anonymous said...

Watanzania hii mitandao ya kijamii imekuwa kama pepo, you are right Nuru sio kwamba hatufurahii uwezo wa huyo mtoto lakini naona kama waandishi hawakumtendea haki. Imetosha, imetosha, bado tu unamtwanga maswali halafu baba mtu yuko pembeni anacheka cheka kama kanywa mataputapu badala amstopishe muandishi. Mmmmhhhh kila la kheri dogo...TSN