Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, October 27, 2016

WE ARE SO HAPPY FOR YOU HERIETH,CONGRACTULATIONS AND SHOW EM WHAT YOU GOT!!!

HERIETH PAUL IS GONNA BE WALKING AND BECOME A VICTORIA SECRET!S
ANGEL AT THEIR ANNUAL FASHION SHOW IN PARIS.
WE ARE PROUD OF YOU AND THANK YOU FOR WRITING HISTORY FOR EVERY AFRICAN AND TANZANIAN THAT WANTS TO PURSUE A MODEL CAREER.
HARIETH HAS WALKED FOR STELLA MCCARTNEY,DONE CAMPAIGN ADS FOR CALVIN KLEIN AND TOM FORD AND IS THEE FACE FOR A COSMETIC COMPANY.

HERIETH PAUL NI MWANAMITINDO AMBAYE MAKAZI YAKE NI CANADA.
ANAFANYA VIZURI KWANI KESHAFANYA CATWALK KWA DESIGNER WAKUBWA,MATANGAZO KWA CALVIN KLEIN NA TOM FORD PIA ANA MKATABA NA A COSMETIC COMPANY NA MWAKA HUU ATATEMBEA CATWALK SHOW YA VICTORIA SECRET IN PARIS UFARANSA.
KUBOOK HII SHOW NI NDOTO YA WANAMITINDO WENGI KWANI NI KUBWA,PIA INAKUWA COVERED NA MEDIA NYINGI KUTOKA KILA PANDE ZA ULIMWENGUNI So ANAZIDI KUPIGA HATUA HERIETH WETU.
KUNA WAKATI NASIKITIKA KWANI MMECONCETRATE NA MZIKI WAKATI KUNA WATANZANIA WANAOFANYA VIZURI NDANI NA NJE YA TANZANIA KWENYE SEKTA MBALI MBALI KAMA MEDICINE,BIASHARA,ELIMU,KAZI ZA KIJAMII NA WANAPEWA MATUZO PIA NA VINGINEVYO!!
NI MUHIM SANA KUONYESHA WATU TOFAUTI ILI WATOTO WAWE INSPIRED NA VITU VINGI NA WAO WAJUE WATACHAGUA NJIA GANI BAADAE,NIMEMALIZA.COM!

3 comments:

Anonymous said...

Congrats to her!!!
AM...

Anonymous said...

Nampenda sana binti huyu very simple and grounded huwezi kusikia habari zake wala hajigambi, atafika mbali sana ...CinTea

Anonymous said...

Go girl we are happy for you, tunakutakia kila la kheri na mafanikio mema, tuache wabongo sie tumekalia majungu na kutukanana insta...TNS