JANET JACKSON ILIBIDI AKATISHE TOUR YAKE BAADA YA KUGUNDUA KUWA NI MJAMZITO AND KUMBUKA KUWA UMRI WAKE NI MIAKA 50 SO ILIMBIDI AU DAKTARI WAKE ALIMWAMBIA NA KUMSHAURI KUWA NI VYEMA ATULIE WAKATI HUU WA UJAUZITO WAKE,YAANI AM SO HAPPY FOR HER!!!
5 comments:
Anonymous
said...
God is so good, na kila mtu anampa kwa wakati wake. I am happy for her...TNS
Hee huo mwili hadi aurudishe ulivyokua baada ya kujifungua atashaa, ukizaa utu uzimani mwili kupungua ni changamoto kubwa but all in all mwanaye atampa faraja kubwa sana hata huo mwili wa showbiz hataumind sana I suppose, Mungu wetu ni mwaminifu...CinTea
My darling anony 1.40am...For ur info Janet Jackson is in the civilised world....ma doctor wa kishure, misajari ya kushuwa, wee unafikiria ule mwili wa Kim Kardashian ni wa kujirudi kirahisi hivyo haswa baada ya mtoto wa pili? Mastar wooote majuu ambao hela imewatembelea..huwa wanajitenteneza mno..awe kazaa na gata hajazaa...hivyo Janeth utamwina humu hata kabla mwezi haujaisha akishazaa mwanae...atakuwa Kimodo zaidi ya vim9do vya miaka 18! Hivyo inaitwa Technology Love :)
afu ndio aje mtu kusema eti zaa mapema kisaa uzazi unakuwaga mgumu ukishafika utu uzima, we Mungu mpk unasema hvyo, m bado na najua nitazaa tu kwa uwezo wa Mungu na sio maneno ya wanadamu,

Mungu ni.mwema sana.
Subra na maombi sana tu.
Asipotupa na tuna uwezo, kusaidia Mtoto yatima ni farsjs pia

Post a Comment