ELIAS YMER,,
MICAEL AND ELIAS YMER ARE TENNIS PLAYER!S OF ETHIOPIAN DESCENT,,
THEY MAKE ME PROUD AND AM HAPPY TO SEE THEIR ACHIEVEMENTS BUT ALSO TO SEE MORE OF THEM IN THE FUTURE,THIS IS JUST THE BEGINNING!!
MICAEL NA ELIAS YMER NI MTU NA KAKA YAKE AMBAO WAMEANDIKA HISTORIA SWEDEN KWA KUSHINDA TENNIS DOUBLE KWENYE MASHINDANO YA STOCKHOLM OPEN 2016 NA NAWATAKIA KILA LA KHERI KWENYE SAFARI YAO!!
2 comments:
hongera sana kwao....naupenda sana huu mchezo! Africa keep shining!
Huko mbele wanajua sana kunyanyua vipaji vya watoto. Sasa huku bongo kwetu mtoto akipenda michezo sana mzazi atashinda kutwa nzima kumfokea badala akae nae amshauri ni jinsi gani atashiriki kwenye michezo na ni muda gani anatakiwa akae darasani kujisomea.
Post a Comment