Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Monday, October 3, 2016

THE GIFT!!!


KWANZA KABISA NATOA AHSANTE KWA WALIONIFOLLOW TOKEA NIMEANZA KUBLOG HADI LEO HII,,
KWA WAGENI WAPYA KARIBUNI SANA MAANA NAONA KABISA THE DEVELOPMENT,,
NIMEKAA NIKASEMA ALL THIS TIME SIJAWAHI KUTOA KITU KWA MY READER!S IN TERMS OF ZAWADI NDIO NIKAPATA IDEA YA ATAKAYECOMENT THE MOST ATAPATA ZAWADI NA ZOEZI LIMEENDA MORE THAN 3 WEEKS KUENDA YA NNE,,
MY TOP FIVE NI CINTEA,MWAMWINI,COMFORT,WINNIE,BINTI NYOTA AND TABI
MMOJA KATI YA HAWA ATASHINDA ZAWADI BUT NATAKA WA PILI NA WATATU PIA WASITOKE TUPU,,
NATAKA MNIAMBIE MNATAKA ZAWADI YA AINA GANI MIMI TAYARI NNA IDEA ILA SITAKI KUSEMA BUT MNATAKA IWE A BAG,A DRESS,A SHOE,A SKIN PRODUCT AU MAKE UP AU AN EXPERIENCE FOR EXAMLPE A SPA EXPERIENCE,,
KILE KITAKACHOPATA MOST VOTES NDIO NITAFANYA KWA MAANA NDIO MTAKUWA MNAKITAKA KWA ATAKAYESHINDA,,
KAMA UNAJIHISI NIMEKUSAHAU FEEL FREE KUNIKUMBUSHA,
AHSANTENI NA NAWAPENDA SANA MAANA KUBLOG SIO KAZI RAHISI BUT I ENJOY IT NA NIMEJIFUNZA NA KUWAFUNZA NYIE THROUGH MY POSTS,,
HAKUNA MWANABLOG ANAYESUPPORT NA ANAENDELEA KUSUPPORT KAZI ZA WENGI KAMA MIMI HILO SIONI AIBU KUSEMA NA NAJUA NI UKWELI MTUPU,,
SINA ZAIDI MAANA NIMECHOKA IV BEEN WORKING 8 DAYS IN A ROW,
SIKU NANE MFULULIZO NAFANYA KAZI MWAKA UNAISHA NATAKA KUTIMIZA NILIVYOVIPANGA BY GODS GRACE I WILL MAKE IT TUOMBE TU UHAI NA UZIMA KWANI MENGI NIMEYAPITIA NA BADO NIMESIMAMA IMARA,A FRIEND OF MINE ONCE SAID NURU SOMETIMES IT IS NOT IMPORTANT TO WIN THE WAR BUT TO HAVE WON THE BATTLE AND LEARN FROM IT,SIO KILA VITA UPIGANE AU UTOKEE KUWA MSHINDI,USIKU MWEMA WAPENDWA!!

20 comments:

Anonymous said...

Aww Nuru nakupenda ivo tu

Anonymous said...

You are different and unique, kwenye ukweli unausema , you judge wisely before posting a comment and you don't get personal na yasiyokuhusu umebarikiwa sana, huwezi kuamini sicommentigi kwenye blog hata moja zaidi ya hapa, cause I feel at home. Kwa zawadi a skin product or make up would be great and easy to pick kuliko nguo au viatu ucheze na size it's kind of difficult...CinTea

Anonymous said...

Uko positive sana na una roho nzuri kwani wengi hawakupi support kama vile wewe unavyowaunga mkono na hubagui hicho napenda kwa blog yako hata mimi naona skin product na make up original kwa ss wabongo vya mamtoni nipendeze maana fake produt majanga

Anonymous said...

Shosti umenisahau ila mie sina jina nimejaribu mara kadhaa kuopen id nimeshindwa. But I love your blog kwa siku natambelea kutwa mara tatu kama panadol. With love from Hull. Chura cup of tea no sugar nishushie machungu.

Anonymous said...

Mimi pia sina id jamani nakosa zawadi uwiiiii

anonymus said...

So happy.Mi ni teja wa hii blog na nime recommend kwa wengi.sikuwa na comment b4 sababu naijua hata hapo nimejitahidi.nuru mi napenda handbag of I will make through it..!mwamini.

comfort said...

Manassas,Nuru nakupenda bure Mungu akubariki kwa roho yako nzuri.

comfort said...

Mamaaaa,Nuru nakupenda bure Mungu akubariki kwa roho yako nzuri.

comfort said...

Da Nuru me skin products or makeup.nimefurahije sasa kusikia zawadi hapa nipo ofsin ful tabasamu wananishangaa tu hawaelewi.

Mischa said...

Mischa nimesahaulika jameniii

Anonymous said...

Ooooooh thank you Nuru, kama alivyosema mdau hapo juu a skin product or make up will do. Nimefurahije leooooo nimekumbukwaaaa. Winnie

Anonymous said...

kwa kweli i have to find a name am always anonymous , hongera zenu wapendwa.

i must look for name kwa kweli nisijenikapitwa next time ha ha ha

conn4heaven said...

nakupenda dia nuru mungu azidi kukubariki hata nisipopata zawadi poa tu maana upendo haulipiwi

NURU THE LIGHT said...

Mischa,Conn4heaven na Anonymous nyie watatu mnastahili so far i have a top ten for sure
Ahsante Conn4heaven love you back na kweli kupendana ni zawadi kubwa mno amen na wewe pia,,
No jina unalo tayari anonymous keep using it bila hofu,uko juu
Comfort usijali next TASK nawapa kesho,,
WOTE na nyie mbarikiwe pia,ahsanteni sana ss leoooooo the competition is on✌✌😙😙

Anonymous said...

A Spa experience sounds amazing..........Good job by the way Nuru hata na sisi kila siku tunaona develoment yako keep it up.

T

Bintinyota said...

Awwww my Light!!!
You always unique baby.

Sasa hapa mtihani wakuchagua dhawadiiii. Haaaaa!!! Mimi mgonjwa WA shoe na bags, I don't spplie make-up.

Mmmh nmimi napigia kura SPA experience. Mambo ya Ku relaxeshwa lol. Stress off

Ubarikiwe sana the Light.
Keep up the love.

Marogoooooooo

Tabi said...

Mungu akubariki Nuru,mie kwa kweli sichagui zawadi ni zawadi yoyote tu.

NURU THE LIGHT said...

Wote nimewaskia ahsanteni kwa mapenzi yenu pia,,tuko pamojah!!

Winnielicious said...

hongera sana kwa kupongeza reader wako. zawadi nayopendekeza ni kiatu.
kila la kheri kwenye kukimbiza ndoto zako ili zitimie

Anonymous said...

Nuru mbona comment zangu hazijiii jamani, afu sijui kucreat jina but m shinning star ''wink''