maskiiini weeee umri unasogea basi ni do or die!!matangazo liveee jamani wenzenu yuko mawindoni huyo, relationships zote zimegoma kilichobaki ni kuvua nguo tu live!!!!! pole sana mamii ukweli ndo huo, urembo umenyimwa, elimu umenyimwa, akili pia zero!
Ha ha ha haaa Bintinyota mie simoo kabisaa hata chai Leo sinywi...huyu sasa jamani Hana rafiki amwambie hivi anavyofanya sio vizuri maadili yapo wapi..mweeh
9 comments:

Hii hapana nitaumwa tumbo lol...CinTea
Mwaka unaisha jamani,watu wanatengeneza kumbukumbu.
Hahahahaha halafu humu ndani watu mkitolewa manundu me simoooo disc zangu hazihimili vishindo voooooooo (in zanzibarian voice)
Namuonea huruma The light.wakimkamata ataomba po!hahahaaaaa!
Ha ha ha haaa Bintinyota mie simoo kabisaa hata chai Leo sinywi...huyu sasa jamani Hana rafiki amwambie hivi anavyofanya sio vizuri maadili yapo wapi..mweeh
hana lolote huyo, angetulia na huyo GK wake, ndio wanaendana
ni kujitoa toa tu ufahamu, akili zote anazo, na mwili wenyewe hauna hata mvuto, yanini kujidhalilisha ---butterfly
Suzana na wenzako, sisi kupigana hatuwez, yaani Mimi nafuta kabisa na comment zangu. Lol hata miye WA karibu 40yrs Nina kamvutooo
Post a Comment