Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, October 16, 2016

TAARIFA YA MSIBA NA RATIBA YA MAZISHI YA MAMA FLORENTINA MASSAWE,REST IN PEACE!!!


FAMILIA YA MAREHEMU FLORENTINA MASSAWE INAWAARIFU KWAMBA TUTAKUWA NA IBADA YA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU FLORENTINA MASSAWE ITAKAYOFANYIKA HAPA.

ADRESS NI NORRA KAPPELLET,SOLNA.
SIKU NI IJUMAA TAREHE 21-10-2016 SAA NNE ASUBUHI,10.00AM!!
WOTE MNAKARIBISHWA KUWA NASI KATIKA HIKI KIPINDI KIGUMU KWANI TULIMPENDA ILA MUNGU KAMPENDA ZAIDI.
TAFADHALI UTAKAPOPATA UJUMBE HUU UNAWEZA KUSAMBAZA KWA WENGINE PIA NA KUWAFAHAMISHA.
KWA MAELEKEZO AU KINGINE KUFIKA ENEO LA TUKIO TAFADHALI PIGA SIMU NAMBA +4670910991.
AHSANTENI SANA NA KARIBUNI,SIMONA NILLSON!!

MAMA FLORENTINA MASSAWE ALIKUWA AKIISHI STOCKHOLM SWEDEN MPAKA ALIPOFARIKI.
NIMEBAHATIKA KUMUONA ILA NLIKUWA MDOGO BUT NI MTU AMBAE ALIKUWA AKISAIDIA SANA WATANZANIA WENZAKE MMOJA WAO NI MAMA YANGU MZAZI.
SHE WAS AND STILL IS AN EXAMPLE MAANA KASAIDIA WENGI MNO BOTH HAPA SWEDEN NA TANZANIA.
NILIVYOSKIA WATU WATAFUNGA BIASHARA ZAO ILI WAWEZE KUKUENZI MTU AMBAE ULIKUWA AKIWAJALI BASI NILIFARIJIKA KWANI WAMEPOTEZA MAMA TERESA WAO..
MAMA FLORENTINA MUNGU AKULAZE MAHALA PEMA NA NITAJARIBU KUFANYA HATA NUSU YA ULIYOYAFANYA KWA FAMILIA YAKO NA WATANZANIA WENZAKO,MAY YOU REST IN ETERNAL PEACE,AMEN!!!

6 comments:

Anonymous said...

May she RIP...CinTea

anonymus said...

Inna lilah wainna ilayh rajiuun! Hakika sisi ni wa MwenyeziMungu na kwake tutarejea!mwamini

Anonymous said...

A good heart has stopped beating a good soul ascended to heaven. May God give her eternal rest.

NURU THE LIGHT said...

AMEN,,,

Tabi said...

Poleni sana jamani,RIP Mama

comfort said...

Polen sana.Mungu amlaze mahali pema peponi.Amina