God Bless you Nuru unaonekana unamoyo sana wa kutoa that's why Mungu anazidi kukubariki siku hadi siku. Endelea na moyo huo nasi unatuhamasisha tuwe watoaji...TNS
Ahsante TNS,, Jaribu primark,river island na asos.com kwenye website ila pia hm huwezi kukosa ila check hm divided brand yao kwa the youth hii kwa anon wa 3.03
8 comments:
She deserved that hun.
I love the look, simple but mwake mwake
Beautiful....max dress iko pouwaa!!!
AM....
Hi Nuru, natafuta kikoti kidogo cha jeans kama hicho chako, naweza kupata wapi? Nipo UK. Mimi ni size 16
God Bless you Nuru unaonekana unamoyo sana wa kutoa that's why Mungu anazidi kukubariki siku hadi siku. Endelea na moyo huo nasi unatuhamasisha tuwe watoaji...TNS
Ahsante TNS,,
Jaribu primark,river island na asos.com kwenye website ila pia hm huwezi kukosa ila check hm divided brand yao kwa the youth hii kwa anon wa 3.03
Kuna nguvu katika kutoa! unapotoa zaidi unapewa zaidi hongera Nuru kuwa na moyo huo huo
hizi max dress zako huwa zinakutoa chicha....nice
Post a Comment