KWANZA KABISA POLE SANA SAID MAANA SASA HIVI NDIO UTAPITIA PROCESS ZOTE MPAKA UFIKIE KUKUBALI HALI HII ULIYONAYO KWA SASA,,
BACK TO MY POINT SIKU YOYOTE MTU AKIWA ANAPOKEA MAJIBU KUTOKA KWA DAKTARI ESPECIALLY KAMA SIO MAZURI LAZIMA AWE NA WATU AU MTU AMBAYE ATAMSUPPORT KWAVILE NI KITU KITAMATHIRI KIAINA KISAIKOLOJIA,,
MIMI SIKUONA UMUHIMU WA KUITA WAANDISHI WA HABARI WAKATI ANAPOKEA HII HABARI NIMEONA THE VIDEO WALA SITAKI KUIWEKA IT WAS UNNECESSARY AND INHUMANE,,
KAKA WA WATU ANALIA,MKEWE ANALIA NA MAKONDA KAKAA PALE VERY UNNECESSARY AND FULL CHAOS WAANDISHI NA MAKAMERA YAO YAANI TAFRANI TUPU HUMO NDANI AND NO SENSE OF ORDER,,
HAIKUWA NA HAJA YEYE KUWEPO INGEWEZA KUFANYIKA A PRESS CONFERENCE WITHOUT HIM AU A STATEMENT ILI JAMII IWEZE KUPATA TAARIFA,,
AT TIMES HATA NYIE WAHESHIMIWA MJIFUNZE KUWASTIRI WANANCHI WALIOKUMBWA NA MAJANGA TOFAUTI TOFAUTI MAANA UZITO KAUBEBA YEYE NA SIO SISI,,
KESHO WEWE NA SISI TUTAONA LAKINI YEYE HIYO HALI NDIO BASI TENA,,
AMESHAPITIA MENGI TOKEA SIKU YA TUKIO IT IS ENOUGH,,
HANA HAJA KWA SASA KUWA KILA SEHEMU KUFANYA MA INTERVIEW HE NEEDS PEACE MAANA ANA KAZI KUBWA SANA YA KUANZA UPYA MAISHA YAKE KAMA KIPOFU,,
ATLEAST ATASAIDIWA KUANZA MAISHA HAYA BUT HE NEEDS PEACE NA MWANASAIKOLOJIA.
HII SIO TAMTHILIA HII NI HALI HALISI ILIYOMKUMBA BINAADAM MWENZETU SO THE LEAST WE COULD DO NI KUMSTIRI NA SIO KUMFANYA A SPECTACLE MEANING MAONYESHO,NIMEMALIZA.COM!!
Source;bongo5.com
16 comments:
Hakyanani sio kila binadamu ni binadamu, wengine ni wanyama tunapishana nao barabarani na kukaa nao majumbani. Munngu baba epusha haya majanga kwenye familia zetu. Mungu msimamie huyu kijana na I hope atapewa therapy ya nguvu aiseee maana mmh
Nilishapata majibu yangu mabaya nikiwa peke yangu sitakaa nisahau na wazungu wanakuambia kama lilivyo nilishindwa kuendesha gari kurudi nyumbani nilikaa kama nusu saa nawaza nitaendaje kuwaeleza waliobakia home ila Mungu ni mwema kila jambo linapita, siku nikiwa na nguvu nitakuandikia Nuru Mungu atampitisha ila bado ninaimani nje wanaweza kujaribu tatizo ni very expensive...CinTea
Tumeshaathirika na vyombo vya habari..maana kila kitu kuita waĆ ndishi,hatujui kuchagua tena..Mungu Atuzindue.!mwamini
Pale ambapo siasa inaangalia zaidi maslahi yake na kusahau ubinadamu. But it's not my biz anyway _Chura wa Kijani (CK)
Kwakweli this is so unfair kwa huyu kijana. Tatizo ni kwamba Makonda anataka ijulikane alimsaidia huyo kijana ndio maana hata alipokuwa amepelekwa Muhimbili ilikuwa kwa social media kuanzia kafuatwa nyumbani mpaka yupo Muhimbili kwenye vipimo.
Issue inapelekwa kisiasa zaidi lkn si kwamba yupo kumsaidia. Km kweli wanataka kumsaidia wamlete Europe waone km hataona. What is Millioni kumi kumuweka kijana wa watu na mkewe ktk hali hiyo kwenye press conference eti kwakuwa ulimpeleka muhimbili kupimwa??kwani mbona alishakwenda huko muhimbili before uende kumtembelea. Embu wasi politisize everything. Mengine ni maisha ya watu ati
Bila wandishi tungeyajua hayaaaa? Mambo mengine muwe mnafikiria kwanza sio kukurupuka hata wewe Nuru umekopy na kupest, mlengwa anaitaji misaada zaidi. Na kwa kupitia haya uwezi juwa. Mungu mkubwa akatokea hata mtu mfadhili mwenye misaada zaidi. Hili ni janga na swala la Taifa zima kama watanzania tumeguswa sana na jamii yetu tunavyoishi kwa kweli. Mungu amuongoze .Ndugu yetu
Mimi nawalaumu madaktar pia.wanajua maadil ya taaluma yao kwanini walishindwa kutetea taaluma yao wakafanya kile kinachostahiri ili kumsaidia huyu kaka.hakukuwa na haja kabisa ya waandishi wa habari.hawa wanasiasa ni kweli wanasaidia lakini pia wanatengeneza majina yao so hawezi kuja.
Anon wa 3.52 nyie ndio wale wale mnaohitaji elimu maana ungekuwa umesoma vizuri bila kukurupuka basi ungeelewa my point kama wenzako waliokoment because wameelewa,,
Maybe if u knew haki zako usingetetea huu ujinga wa kumpa mtu taarifa mbele ya waandishi halafu unanichekesha kweli eti tujue Come next week utakaa kumdiscuss wema kama ana range au bado,,
This is politics dear na huyo kaka katumiwa toka tukio lilivyotokea,,
Jua kutofautisha kati ya kitu kinachohusu jamii na kitu private sisi kumjua Scorpion that was important ili watu wawe makini but this hawakumtendea haki halafu kingine mpenzi mm si copy na kupaste kilicho kichwani mwangu,,wake up n get in formation!
Bila wandishi tungeyajua hayaaaa? Mambo mengine muwe mnafikiria kwanza sio kukurupuka hata wewe Nuru umekopy na kupest, mlengwa anaitaji misaada zaidi. Na kwa kupitia haya uwezi juwa. Mungu mkubwa akatokea hata mtu mfadhili mwenye misaada zaidi. Hili ni janga na swala la Taifa zima kama watanzania tumeguswa sana na jamii yetu tunavyoishi kwa kweli. Mungu amuongoze .Ndugu yetu
Imebidi nicopy comment yako ili niweze kukujibu vizuri. Nafikiri hukuelewa Nuru alichokuwa anasema. Haikuwa sahihi kwa mkuu wa mkoa kumpa majibu bwana Said akiwa ofisini kwake tena na jopo la waandishi wa habari. Nafikiri ilitakiwa kwanza afanyiwe councelling tena nyumbani au sehemu yoyote ambapo hakuna waandishi wa habari, baada ya hapo wangempa majibu hapo wangekuwa wamemsitiri. Lakini sio walivyofanya utafikiri bongo movie wako location???!!!! To sad kwakweli. Mungu ni mwema atampa faraja...TNS
Kikubwa tulichokiona hakifai ni namna au njia iliyotumika kumpatia huyu kaka majibu yake.kuhusu kupata taarifa zake wote tumefurahi na tumejifunza mengi labda ww hukumwelewa Nuru anonymous 3:52.Halafu ukiwaunacomment punguza jazba kidogo lol!.
Sio vizuri wangemwambia yeye pamoja na familia au mkuu wa mkoa in private. Alafu tatizo hili, lakini natoka kwenye topic lakini ni same idea. kwa mfano kuna kipindi fulani kuna mwanamke na mwanawe waliuwawa kikatili Sasa nikawa nasoma kwenye website ghafla wakati na scroll down kukawa na picha ya huyo mwanake na mwanawe wote wameuwa kinyama yaani hawakumstiri. Pia tabia hii ndugu zangu huwa wanazo yaani kwa mfano kukitoea ajari barabarani yaani picha wanatuma picha zote za ajali mbaya. Au ndugu yako anaumwa basi wanatuma picha ambayo yuko hoi sio vizuri kabisa. Kutoa taarifa ya habari ni jamabo nzuri sana kwa magazeti au ndugu zetu lakini kuweka picha ya ndugu zetu wamekatwa mapanga,ajari mbaya za gari au wagonjwa mahututi, hauna haja ya kutoa picha tumia lugha sana sana vyombo vya habari kuelezea kimetokea nini na habari zitakuwa zimefika au onyesha picha lakini weka kuficha kiasi. ili kuwathitiri ndugu zetu.
I kind of agree kwa asilimia flani.but I also believe huyu kaka amefarijika sana kwa support aliyoonyesha makonda. Privacy ni muhimu sana lakini pia hii kitu kuwa ktk media imefundisha au kukumbusha watu wengi sana/watanzania kuwa makini maana kuna watu wa kuwaogopa kuliko wanyama.
Anon wa 1.00 ni kweli hilo nalo ni tatizo kubwa sana ukitizama wakati marehemu Kanumba,Sharo na Ngwair mapicha yalikuwa yanasambaa mno unfortunatly to say hilo pia ni tatizo na si media wala wananchi wanafikiria hilo mtu anacoment mpaka nione picha ya maiti ndio ntaamini kama kweli amefariki sasa huyo unambadilisha kivipi?
kama watu bado wanaulizia clip za mtu anabakwa aione hivi type za hao watu tunawabadilsihaje?
hata kama mtu kafariki ni it is just as important kumstiri hata kwenye hiyo situation maana hayuko hata hai kujitetea so hilo nalo ni a big big problem,,
Haya matukio ni somo na elimu tosha but it also brings awarness ya watu tunaodeal nao.fikra za watu,watu wa aina gani kwenye society yetu na type za watu tofauti zilizotuzunguka,,
Duh watu tuna uelewa mdogo sana. But kama halijakukuta tatizo huwezi ona madhara kwa mwingine
Nuru umeonea point sana ila sijui watengeneza tangazo liwekwe kipindi cha mipira watu ndio watapata ujumbe??? maana inaniudhigi sana watu wanakurupuka mapicha ya maajali mara marehemu vitu kiao no prvacy kabisa. media need to back off kwa kweli inasikitisha sana !
mimi pia niliwaza kimyakimya rohoni nikajiuliza kulikua kunahaja gani yakupamajibu mbele ya macamera tena majibu yenyewe mabaya.
Post a Comment