Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, October 21, 2016

SAD BUT TRUE!!!



YAANI MALI ZANGU,HELA YANGU KWA JASHO LANGU HALAFU BADO UNIPELEKE MAHAKAMANI JUU HUKU PIA UTAM NILIKUWA NAKUPA NA KUJULIKANA PIA NA BADO UNAPATA MSHIPA WA KUNIPELEKA MAHAKAMANI AMA KWELI KUNA WANAUME WALIZALIWA TU NA FIMBO AU KIBAMIA KATIKATI YA MIGUU BUT HAWANA MAANA YOYOTE YAANI OVYO KABISA..
HUYU KAKA ANA WATOTO WATANO ALOKUJA NAO KWA MARY J NA YEYE NA MARY HAWAKUZAA MTOTO KATIKA MIAKA YAO 13 YA NDOA NA PIA AKAJA KUWA MENEJA WAKE BAADAE MPAKA MWISHO WA NDOA YAO,,
HIVI BILA AIBU UNATAKA HELA YOTE HIYO ILIMRADI UENDELEE KUISHI MAISHA YA KIFAHARI AMBAYO UMEYAPATA KWA MARY,,
KWA MARY UMEPATA KUJULIKANA NA ULIMWENGU NA PIA KUIJUA INDUSTRY SASA CHA AJABU MIAKA HII YOTE SI ULIKUWA UNACHUKUA FEE YA UMENEJA JE HIYO HELA UMEIFANYIA NINI MPAKA LEO UTAKE MWANMKE AWE ANAKULEA KILA MWEZI FOR NOTHING,SHENZTYPE!
DUNIA HII KUNA WATU WAKAVU SIJAPATA ONA AISEE ANGEKUWA KAKA YANGU KWANZA NINGEMCHAMBA NIKAMWAMBIA HUONI HATA HAYA?
KUWA UYAONE,TEMBEA UYAONE ILA WANAUME WA SIKU HIZI SI BABA ZETU KWAKWELI NI AIBUUUU  KUWA MWANAUME WA HIVI UNATAKA ULELEWE WAKATI BADO UNA NGUVU ZOTE ZA KUWEZA KUJITEGEMEA HAPO NDIO MUELEWA ALIKUWA ANAISHI NA MTU WA AINA GANI,HERREGUD
POLE SANA MARY J I HOPE NEXT TIME UTAPATA MWEMA KULIKO HUYU EHH MUNGU UZIDI KUTUEPUSHA NA WANAWAKE WENZANGU TYPE HIZI ZA WANAUME MAANA UNAWEZA KUIONA DUNIA CHUNGU KUMBE DUNIA NI TAM SANA ILA KUNA BAADHI YA VIUMBE NDIO MASHIKOLO MAGENI,NIMEMALIZA.COM!!!

6 comments:

comfort said...

Ukisikia vitonga ndy huyo baba.

Bintinyota said...

Mimi wamenichoshaas vilaza tu mxxcc

NURU THE LIGHT said...

Hahahhahahahah tuwaite dumevilaza.Com

Anonymous said...

Eti anataka amlipe chef $8,000 kwa mwezi, MC Donalds zilijengwa za nini?...Lol hata rent ya $7,000 it;s too much!! downsize uishi real life. Wanaume wasiku hizi hovyo kabisa sijawai kuona...CinTea

Bintinyota said...

Yaani ni Dumevilaza.com my dear Light na CinTea

Mimi nimewavulia kila kitu, wanaume WA siku hizi fix kibao, fake life, haya kama Muhogo dill akatoe Sadska Ohio mxxxxx

Yaani hii loveblind.com inatuumizaga women!!

anonymus said...

"Mario" on duty khaaa..!mwamini