Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, October 19, 2016

SAD BUT TRUE!!!


ALAWI IS WITH LADY NAA AMBAYE NI DADA YAKE NA NAJ NA WANA MTOTO MMOJA,,
BARAKA IS TOGETHER WITH NAJ,,
BARAKAH DA PRINCE ALIIPOST HII NYUMBA I GUESS FRONTIN AS IF IT HIS BAADA YA SIKU MBILI ALAWI AKAIPOST KWA KUMPONGEZA MAMA MKWE KWA KUJENGA NYUMBA HII SO DILEMMA IS WHO!S THE LIAR?
Sometimes kuna baadhi ya wasanii wameufanya uwongo au kuupa nafasi kubwa sana kiasi watu wawe hawana uaminifu na wasanii wanaosema mambo ya ukweli.
This was very unnecessary haileti mantik wala maana yoyote,,
Kama mwanaume utaringiaje Mali ya mwanamke tena kwa mtoto ambaye hata sio MKEO bado,HADHI yako iko wapi au mshipa wa aibu?
Kuna vitu havina haja hata ya kuongea mengi juu yake maana uwongo hushindwa na ukweli always kuibuka kuwa mshindi.
Hivi dunia hii ya leo when it is so easy ku access information unapataje guts ya kupost Mali ambayo sio yako?
NA wale wanaotoa jasho lao na ku fight kesho wataonyeshaje vitu vyao kama tayari washahukumiwa kuwa Waongo?
Binaadam asiyekuwa na Credibility meaning uaminifu huwa hana lolote maana hudharaulika na jamii na bila Credibility unabakia na nini?
Sasa hivi unaanza safari yako ya  kuwa an International artist why do this?
NA dem wako wakati Unaposti kwanini hakukukanyaau even after?
JE kuna mangapi nyuma ambayo ushayadanganya au ya ukweli na je tutajuaje?
Mjifunze kuongea ukweli na uhalisia kwani safari yako ya mziki ndio imeanza na with time kama hilo ni dhumuni lako basi Mungu atakupa ila pambana kwani muumba kakufungulia mlango basi utumie vizuri na sio kwa vitu vya kipumbavu kama hivi,Nimemaliza.com!!

3 comments:

Anonymous said...

Utoto bado unawasumbua wakikuwa wataacha ila waangalie isije kuwa wanakuwa mwili akili wanaacha nyuma. Naungana na baba Jesca kwenye sala ya kuombea malaika ashuke aje azime hii mitandao ya kijamii watu warudi kwenye uhalisia wao, maana imekuwa too much. Hasa huko insta utafikiri watu wamekumbwa na pepo kila mtu anacharukia kwake. Hivi ukikaa kimya kwani inakuwaje jamani khaa yaani hawa vijana wa sasa natamani niwachape wanakera sana...TNS

anonymus said...

Ujanja mwingi mbele kiza...!tatizo wasanii wetu Hawaii wakati gani wanaishi maisha halisi na wakati gani wanaigiza!mwamini

Anonymous said...

Kwani wanashindwa nini kutumia social networks kutangaza zaidi kazi zao kuliko maisha yao binafsi? Wameshawazoesha mashabiki kuwatangazia maisha yao binafsi ndiyo maana na mashabiki wamekuwa interested zaidi kufuatilia maisha binafsi ya wasanii kuliko kazi zao! SM