Kwa bahati nzuri wiki iliyopita nilipost kama kawaida my Sunday brunch look na hili pochi na kuandika kuwa nitaligawa na mdau wangu Comfort akakoment analitaka nikamjibu akijibu Nitampa,keep in mind sijalitumia kihivyo,
Yes jana Jumapili akakutana na ndugu yangu Bongo land na akakabithiwa so you see Mission Accomplished and i hope Comfort utaenjoy bag lako๐๐๐
Sasa nina majina matano ambayo sijui nani awe mshindi,,
Cin TEA, TNS,MWAMINI,WINNIE NA BINTINYOTA na Winnieliscious yaani ni kdg tuu na wewe uwemo ingekuwa Comfort hajapata the bag most definetly angekuwemo sasa hawa niliowataja nawaombeni tu muandike Cin tea ulaya au tz yaani sehemu unayoishi hii itanisaidia mimi kujua mnapataje zawadi zenu,,
Msijali wadau wangu wengine kuanzia January ntakuwa na giveaway mara kwa mara so msihofu tuko pamojah so endeleeni tu kuwa active na nadhani next year I need to do a party for The Light blog na kitu pia with other bloggers,One Lรถve!!
17 comments:
mi ni shabiki yako sana ila ni kwa vile natokea kama anoy ila siku haiishi bila kuingia humu ndani hata mara 100 kuangalia nini umeweka
napenda sana unablog
Tz =mwamini.
Naenjoy sana tu Nuru nimelibeba tyr leo siku ya pili asante sana.
Oooh nooo jina langu halipo hapo anyway hongereni sana wadau
hongereni kwa waliopata zawadi....its good to keep ur promise...Nuru hamana shida ipo siku na mimi nitapata (wink). keep chasing ur dreams!
Mimi ile jeans nitaipata tu sikati tamaa japo niliuwa nacomment kama anonymous .
Jamani nimekua nikichungulia tu kila siku sikosekani. hongereni wote washindi. Kutoa ni moyo tunashukuru Nuru kwa upendo wako kwetu mashabiki zako!
CinTea Kwa Hillary (naomba iwe kweli)
HAhahaa yaan kila siku Mischa nna kosa kosa, but why?? :(
Winnie - Tanzania
hata mimi siku haipiti bila kuingia kuangalia,napenda sana blog yako
Hongeren washindi, namm next yr InshaAllah ckosi nadhan
Eyyyy thank you oooooh.
Hongera mamy kwa kupata bag lako zuri.
The Light One Love
Zanzibar
Ahsante Suzana na karibu tena na tena๐๐
Comfort am happy to hear that,,
Tabi na Mischa na Bintinyota id zenu najua mko namimi siku nyingi nyie you deserve sumthin special na kina kuja,,
Grayce unavaa size gani na uko wapi naomba jibu nahisi unataka ile jeggings
Cute Olive tuko pamojah๐๐๐
Thank you anon 11.51❤❤
Mwahy you been good next year kwakweli ntakuwa nimekuonea UKIKOSA..
Wote ahsanteni kwa mchango wenu na tuendeleeni kuma ke this the best blog out there,
nawapenda mnoooooo๐๐๐
We love youuu
Marogoooooo
Watashaaaaaa
i love u Nuru ...kila nikifika ofisini asubuhi ndiyo kitu cha kwanza kufungua ndiyo mambo mengine yaendele hadi nimewaambukiza wafanyakazi wenzangu hawakosi...
Hongera sana Nuru kwa moyo wako mzuri wa kutoa, mara zote anayependa kuto Mungu huwa anamuongezea zaidi na zaidi. Ubarikiwe sana kwa kutujali...TNS
Post a Comment