Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Saturday, October 29, 2016

OK THEN!!

TEAM WEMA AT TIMES MNACHEKESHA KWELI,,
SASA PICHA YA PROFILE UMEWEKA YA WEMA THEN UNAMUONGELEA NA KUTAKA KUMPANGIA AISHIJE MAISHA YAKE SO MUMTUKANIE MAMA YAKE AKAE KIMYA JARIBUNI NYIE KUKAA KIMYA MKITUKANIWA WAZAZI WENU KWANI DIAMOND HUWAJIBU SEMA KIVYAKE.
KAMA IMEWAUMA KUITWA MANENO IMAGINE YEYE KUTWA KUCHWA WATU WANAMUITA MAJINA MANAGAPI?
KINGINE KWANI MMELAZIMISHWA HEBU GROW UP PEOPLE KUNA WATU WANAPIGWA MABOMU YOU WORRY ABOUT WEMA AMBAE NI MTU MZIMA SASA NA SIO MTOTO TENA LET HER BE.
TATIZO NI KWAMBA MMEMTUMIA KUPATA MAFOLLOWERS ILA SASA KUNA VITU MNAMPANDA KICHWANI NA KUVUKA MIPAKA MLISHAVUKA KWA KUTUKANA INNOCENT PEOPLE NA MALAIKA.
 UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI MACELEB MNAWAPENDA KUWAFUATILIA WHETHER YOU LIKE TO ADMIT OR NOT.
MIMI NAWEZA SEMA SIKU MASTAA WAKIAMUA KUTOKA INSTANGRAM MTANIAMBIA,,
ALL IN ALL IFIKE MDA MJUE NOTHING COMES FOR FREE IT!S ALL GIVE AND TAKE.
NYINYI MNABENEFIT JUST AS MUCH AS YEYE ANABENEFIT,Nimemaliza.com!,

4 comments:

Anonymous said...

Yaani Nuru WADADA WA TANZANIA WANGEKUWA WANAYSFUTA PESA KAMA JINSI WANAVYOFATILIA MAISHA YA WATU WALAHI WATAWASHINDA WANIGERIA NA WA S.A KWA MAISHA..
YAANI WANANICHOSWA KULIKO WEMA ALIVYOWABLOCK

MIE SIO STAR NILIJITOA FB.INST.WHATSAPP KISA WABONGO WENZANGU.
NEJ !De har inge annat att göra än ..

NURU THE LIGHT said...

Jag håller med dig de hade varit tio steg längre här i livet men vet du vad du gör helt rätt,lev bara diTT liv på dina villkor för när man vet bättre så gör man bättre,kärlek

Anonymous said...

Ila hawa watu kweli wanachekesha tena sana tu, ukisikia malipo ni hapa hapa duniani ndio hayo. Walipokuwa wanatukuna watu kisa boss wao waliwatukana mpaka malaika ambao hawajui chochote na kuombea wenzao vifo kana kwamba wao wanaguarantee ya kuishi milele sasa kibao kimewageukia lazima walime rami na majembe butu kama sio kudeki bahari kwa ulimi. Kwakuwa wamezoea kutukana na hawana wa kumtukana wanaishia kumtukana mama ya wanayejitia wanampenda, hehheiya matusu yamerudi kwa boss. Unafiki mtupu mtu kashasema hawataki majina yote ya karaha mshaitwa mpo tu ooh hata kama hututaki sie bado tunakupenda hivi ndugu wa kuwapenda kama wameisha wapendeni na majirani zenu looh kama ni kurogwa basi aliyewaroga kafa na kaburi lake limesombwa na mafuriko ya mto msimbazi wakuwaagua hakuna endeleeni kutanga na dunia machozi ya mliowatukana yana nyinyi...TNS

SUZANA ANORD said...

da nuu hiyo lugha jmn sijui nianze kuchukua kozi kabla sijaja uko,
eti da nuu si utanifundisha hicho kiswedish jamn