Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, October 6, 2016

NINA MASWALI MENGI WAKUNIJIBU HAMNA,LES SCORPION!!!


ALISHIRIKI KWENYE MASHINDANO YA DUME CHALLENGE NA KUSHINDA 20MILLION 2012 SASA KILIMKUMBA NINI HAPA KATI MPAKA KUFANYA UKATILI HUU,NI MUIGIZAJI, SCRIPWRITER NA A KARATE KID NA NI MTU MZIMA SIO MTOTO AISEE SINA CHA ZAIDI,,

6 comments:

Anonymous said...

Now I get it so zile movie za Karate za kutoa watu macho ndio akawa anapractice kwa watu wasio na hatia atajutaje?...CinTea

Anonymous said...

NASHIKWA NA HUZUNI NA HASIRA SANA KILA NIKIONA HII HABARI. HUYU SHETANI WAMCHOME TU MOTO NDIO DAWA YAKE.

Anonymous said...

Naamin utateseka kama ulivyompa mwenzio nateeso .Mungu hatoi hukumu kama sie tufanyavyo. Ingekuwa nchi za nej angepimwa akili .huyu ni kama walee wa ktk ID

Anonymous said...

Mmmmmmh huyu kaka sura yake na roho yake vitu viwili tofauti. Mzima kweli huyu?....TNS

Anonymous said...

yaani hafanani kwakweli, mbona sahii hata ukitaka kudate na mtu ni kuogopa maana hujui kama na huyo atakuwa scropion jamani walimwengu tunaelekea wapi? Dunia shujaa walimwengu hadaa

anonymus said...

Binadamu anaweza badilika within a minute akawa kiumbe wa ajabu zaidi ya mnyama.Lkn kuna watu wana ubabe wa hovyo mitaani tunawachekea matokeo ndiyo hayo.mwamini