Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, October 30, 2016

NIMEENJOY SANA KUONA HIZI SHEREHE KWANI WAMENIONYESHA DUNIANI TUNATOFAUTIANA CHA MSINGI NI KUWA NA FURAHA!!!

Kuna mdau aliuliza SIngo Party ni nini watch this utaelewa dah nimecheka aisee kuna make up nimeziona sijawahi ona,wanaitwa wakali waoooooooo!

Nassir Studios

2 comments:

Anonymous said...

Huyo Latifa, kwa nini kakubali make up ya hivyo. Mwenyewe mzuri ila hizo eyeshadow ndio zimemfanya kituko

Anonymous said...

Wakali wao ni noma yaani nimejikuta nimecheka kwa nguvu khaaa utafikiri wamesilibwa majivu uwiiiiii kioo kumbe na chenyewe huwa kinadanganya duuuh sio kwa msilibo huo.
Haya huyu naye aliyemremba Latifa alikuwa mchepuko wa bwana harusi nini???? Ndio nini kumkandika mwenzie mieye shadow kiasi hicho jamani khaaa, Latifa mzuri ila sasa make up imekuwa make down, naomba kuuliza kwa wale waliowahi kuwa mabibi harusi hivi huruhusiwi kuongea chochote? Hata kama unaona hujapendeza hutakiwi kumrekebisha mpambaji? Naomba mnisaidie kwenye hilo wapendwa...TNS