NEW HAIRDO AND FOR THE FIRST TIME IN MY LIFE I WENT RED BUT NOT ALL THE WAY,BABYSTEPS!!
WIFI KANITENGENEZA TENA NYWELE NA NIMEWEKA RED KWA MARA YA KWANZA MAISHANI MWANGU MIMI NI MUOGA WA MARANGI RANGI KICHWANI ITS NOT MY THING BUT BABYSTEPS,AHSANTE WIFI ME VERY VERY GRATEFUL!!!
BAADHI YA MAKE UP NINAZOTUMIA NA VIFAA ILA MIMI SIO FAN WA MAKE UP KIHIVYO KAMA MMENOTICE,,
KUWA NA VIFAA VYA KU APPLY MAKE UP NI MUHIM SANA NA USAFI WAKE PIA,,
PIA KUWENI MAKINI MNANUNUA PRODUCTS WAPI KWANI MNAAPLY KWENYE NGOZI ZENU SO NI BORA ZIWE BEI KIDOGO ILA NI SAFE
I CAN HIGHLY RECOMMEND MASCARA FROM LOREAL HIZO MBILI MNAZOZIONA IS THEE BEST NA LANCOME NA NATAKA KUANZA KUJIFUNZA CONTOURING SOON,,
13 comments:
Red imekupendeza sana na rangi yako, by the ways siku hizi kuna method mpya ya crochet ya kusuka butu na sio conrows chini wambeya hawawezi kugundua kuwa ni crochet na inatoka bomba ile mbaya unaweza kubana juu kama kawa...CinTea
Next time nitaijaribu hiyo thank you for the tip,Thank you!
Next time nitaijaribu hiyo thank you for the tip,Thank you!
Kwanini unaweka manywele wakati una nywele nzuri pyee
Looking dope with red hair Nuru. I looooove your make up kit, I wish ningekuwa naweza paka paka makeup. Nikipaka naona uso mzito halafu hauna ushirikiano sijui ndo unyamwezi plus upogoro. Winnie
Make up darasa linatufaa wengi maana wengine kujisiliba parachute ndukiii.!mwamini
Nywele zimependeza. usihofu kwa hivyo yangi maana haingai kihivyo.
Dah ahsante Grayce maana nlianza kuogopa labda zinangaa ok shukran
Anonymous darasa ngoja niwawekee ka video ka beginners atleast mpate tips youtube zimejaa make up tutorials videos kama uchafu ni mda wako tu na intrest.
Upogoro ndio nn Winnie hahahhahahahah skuhizi ziko make up ambazo si nzito for example Mac foundation iko light hata mtu akigusa uso wako hakuharibu so kuna products nzuri sana in the market,,thank u Winnie
Naweka au nasuka bcoz of baridi plus mambo ya kuamka kubana nywele kila asubuhi i cant bado huo uzalendo bado hauko damuni,,
Nimependa ulivyochanganya rangi umependeza sana,
Nice hun, kusuka serves time
mbona una vitu vingi afu ukipakaga unakuwa simpo kweli had raha sio kama akina fulan wakipaka ya kwao utajua na akienda kwa glambox kupakwa utajua tu, tofauti na wewe, hongera
m napenda make up simpo ambayo haikubadilishi rangi ya uso
Upogoro ni kabila Nuru, mimi nimechanganyika mama ni mpogoro na baba ni mnyamwezi. Winnie
Post a Comment