Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, October 5, 2016

MUNGU TUNUSURU NA WATU WENYE SURA ZA MALAIKA ILA ROHO ZA KISHETANI,AMEN!!




Source geahabib.co.tz

7 comments:

Anonymous said...

Story ya huyu Kaka iliniumiza sana, huyu Nge inawezekana alikuwa anatumia nguvu za giza ndio maana watu walikuwa hawatoi msaada. Halafu ukiambiwa ndio yeye utakataa hana hata chembe ya ukatili labda walete picha tuone macho maana macho hayafichi hii picha kaangalia chini. But Mungu amsaidie Kaka wa watu angalau hata jicho moja lifanyekazi kama mishipa yake bado iko safi...CinTea

Tabi said...

Inasikitisha sana jamani, sheria ichukue mkondo wake,yaani binadamu tunakuwa kama wanyama

Mischa said...

This is serious,ukakatili wa hali ya juu sana.
Hopefully haki itapatikana Tanzania kuna tabia ya kuacha vitu halfway.

anonymus said...

congrats Geah...umbea wenye manufaa!mwamini

Anonymous said...

Anony 12:05 unadhani hata hizo picha ambazo anatazama zina hata chembe ya ukatili? he is very handsome kwa kweli. Hafananii kabisa. winnie

Anonymous said...

HUYO IBILISI ALIETENDA HAYA WAMCHUKUE NA KUMCHOMA MOTO! ILI ASIJE AKARUDIA MATENDO YA KUTISHA KAMA HAYA. TENA HUYO SHETANI WALA SI WA KUFANANISHWA HATA NA MNYAMA. SIJAWAHI KUSIKIA UKATILI ULIOPINDUKIA KAMA HUU... HUYO NI IBILISI AMEJIFICHA KWENYE NGOZI YA BINADAMU.

Bintinyota said...

Ni shida kuamini MTU unaweza kuwa mkatili hivi.