Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, October 23, 2016

MTV MAMAS REDCARPET!!!

 BONANG THE HOST,NLISEMA ATAFUNIKA,,

NOMZAMO THE CO-HOST,,

 SUCH A BEAUTIFUL GOWN,,


 THIS GIRL CAME TO SLAAAAAAAAAAAY,,,


 YEMI ALADE,,


 YVONNE CHAKA CHAKA,,
 PATORANKING,,
 SAUTI SOL MLITISHERRRRRR VELEVET LÖVE,,
 EMTEE CAME WITH HIS FAM,,
 EDY KENZO,BEBE COOL AND DIAMOND PLATINUMZ,,
 TWITTER GUMZO LILIKUWA TISHET YA FUTURE HAHAHAH,,

 Alilazimishwa kuja ama hahahahah he killed it,,,

HUYU DADA HATA KIOO HAKIKUWEZA MWAMBIA VUAAA,,,DAH KIATU SASA NDIO KANIUWA NA KUNIZIKA NACHO,,

6 comments:

Anonymous said...

Lol Siku zote mnawasingiziaga watu Mungu anawaona ila huyu Dada sijui tumsingizie nani? Hata DaKiboga aka TeamFisi/Asha Ngedere kamzidi mapigo...CinTea

Anonymous said...

I love Eddie Kenzo's look.
I especially love those shoes! MissY.

Anonymous said...

Hahahahahaahhahhahahah picha ya mwisho huyo dada mpaka nimemuonea huruma yawezekana kioo kilipiga makerere avue hakusikia kwa hasira kioo kikavunjika. Khaaaaa si angejivalia hata gauni lake la kitenge tu duuh kweli mambi...TNS

anonymus said...

Haya fasheni na wenye fasheni..!mwamini

comfort said...

Halafu anataka kufanana na yule wa isidingo sijui ndy yeye?me viatu vyake tu lol!

Mischa said...

Hahaha Eti kauwa na kukuzika,But Why???!!!!
Fashion crime she should be jailed.