Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, October 30, 2016

MISS TANZANIA 2016!!!

 WEMA SEPETU
JOKATE MWEGELO 

 HOYCE TEMU WAS DRESSED BY LINDA BEZUIDENHOUT,LB DESIGN!!
 JOKATE MWEGELO WAS ONE OF THE HOST

FORMER MISS TANZANIANS
MAMISS WATATU,GENE,LILIAN AND WEMA. DIANE EDWARD LUKUMAI
WHEN SHE RECEIVED HER PRIZE,CAR KEYS TO HER NEW RIDE!!


 THE REDCARPET
 PREPARATIONS

MASHINDANO YALIFANYIKA MWANZA NA NIMEONA BAADHI YA PICHA ZA REDCARPET IT WAS MAJANGA SO WALA SITOFANYA A REDCARPET REVIEW KWANI HILI SHINDANO HALINA DRESSCODE WHY I DONT KNOW KWANI LINATAKIWA KUWA NA DRESSCODE Hivi HAMUONI WENZENU NJE?
 SASA MTU KAVAA SANDALS NAANDIKA NINI KWA MFANO AU KAVAA LEGGINGS NNAONGEA NINI,PLIZ I BEEEEEG!!
HOYCE,WEMA,LILIAN NA JOKATE WALILITENDEA HAKI SHINDANO KIMAVAZI.
NAONA

KILICHONIFURAHISHA NI KWAMBA NIMEFURAHI SANA TENA SANA TUMEPATA A DARK SKINNED GIRL KAMA MSHINDI THIS IS GOOD KWA WATOTO WA KIKE.
ITS POSITIVE,ENCOURAGING AND INSPIRING KWANI TUNA INFURITY COMPLEX KUBWA SANA KWENYE BARA LA AFRIKA KWA MSICHANA MWENYE NGOZI NYEUSI SO WE NEED MORE MEANING TUNAHITAJI KU ENCOURAGE WATOTO WA KIKE KUJIJUA NA KUJITAMBUA KWENYE UMRI MDOGO KUWA THEY ARE BEAUTIFUL JUST THE WAY THEY ARE,ALL THE BEST DIANE TUNAKUTAKIA MEMA ZAIDI YA HILI KWENYE SAFARI YAKO,NIMEMALIZA.COM!!
Images;gsengo.blogspot.com,millardayo.com,Instangram
Here is the video,millardayo.com

5 comments:

Anonymous said...

Ive haven't seen wema looking this good in a loooooooooooooong time! From the hair, makeup all the way to her gorgeous dress,amependezaaa mnoo! Akivaa ngua zisuzimbana bana ovyo but also accentuate her curves plus leaving something to the imagination! She looks amazing kwakweli, kuddos to her

NURU THE LIGHT said...


Sasa kuna watu wamemponda eti kavaa the wrong attire,,
ikabidi nichoke ghafla like i said Wema,Jokate,Hoyce,Lilian ndio wameitendea haki hii event na kwa wanaume jembe ni jembe owner looked sharp!!

Mwahhy said...

Hili shindano cjui kwann ila limepoteza hadhi yake co km zaman, nicngepitia hapa wala nicngefahamu kama kulikuwa na miss tz

Anonymous said...

Kuna watu dunia hapa wameumbwa kwa ajili ya kusema hata ufanye nini wao watasema tu ili mradi wawe -ve. Wema alipendeza sana tena sana kwa umbo lake nguo hii imempendeza sana...TNS

Anonymous said...

Jamani wema looked amaizingly beautiful in that dress,kwanza sikujua km ni yeye. Amependeza mnooooooo