Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, October 5, 2016

MEET TODAY!S MAKE UP ARTISTS!S A.K.A WAKALI WA HIZI KAZI!!!

MAKE UP ARTIST JACQUELINE AND HER SALON IS CALLED BONGOMAKEUP HOUSE,,

JACQUELINE NDIO MWENYE BONGO MAKE UP HOUSE,,


THIS IS DIANA AND HER SALON IS CALLED AMERICAN NAILS,,
DIANA NDIO MWENYE AMERICAN NAILS NA PIA KAZI YAKE UNAIONA JUU,,


THIS ONE SHE GO BY THE NAME OF LAVIE MAKEUP,,
HUYU ANAITWA LAVIEMAKEUP KAZI YAKE INAONEKANA JUU,,


HER NAME IS TUMA AND HER INSTANGRAM HANDLER IS CALLED TUMA KAY AND YOU CAN SEE HER WORK WITH JAYDEE AND HAMISA ABOVE,,
HUYU ANAITWA TUMA NA KAZI YAKE UNAIONA JUU,,
HER NAME IS EDNA BUT CALLS HERSELF NDIBS ON ISNTANGRAM,,
EDNA NAYE NI MPAMBAJI MZURI SANA,,


SHE CALLS HERSELF HOME MAKE UP TIPS ON INSTANGRAM ONE TALENTED MAKE UP ARTIST AND VERY FUNNY WITH A BUBBLY PERSONALITY I GOT TO WORK WITH HER ON MY L MUSIC VIDEO,,

Bongo make up tips alinipamba wakati wa video shoot ya L,,

HAWA WOTE NI WAPAMABAJI NA WANAFANYA VIZURI KWA SASA KWENYE HII INDUSTRY NA NAFURAHI KUONA KWA SASA KUWA MAKE UP ARTISTS WANAHESHIMIKA NA KUTHAMINIWA NA KILA MTU NA KUJUA UMUHIMU WAO,,

3 comments:

Mischa said...

No a days makeup competition is high,But all in all they should maintain standard za customer care,kusema ukweli hilo ni changamoto sana kwenye nchini huduma kwa wateja F yaani Zeroo.

anonymus said...

make up haziongopiii lkn si za kuendekeza mara kwa mara!maana watu wanazeeka.mwamini

NURU THE LIGHT said...

Mischa where have u beeeeeeeeeeeeeen,,,???
Vinavyozeesha mapema ni lifestyle ya mtu mpenzi for instance mazingira,ulaji,kunywa pombe,kuvuta sigara,kutokulala na kupumzika inavyotakiwa na kuna wengine wana sura tuu zimekomaa hata kama ni wadogo,,

yes Mischa kujali wateja ni muhim sana na bado bongo customer care ni mtihani mkubwa sana kwenye sekta zote mtu huanza vizuri halafu akishaanza kujaza wateja analeta upumbavu,,very sad