LISA NI MCHUMBA WA MSANII ANAYEJULIKANA KAMA MABESTE,,
MNAKUMBUKA MWAKA JANA LISA ALIPOKUWA HAYUKO VIZURI KIAFYA WASANII WALIUNGANA NA MABESTE NA KUWEZA MSAIDIA KWELI MUNGU NI MWEMA NA LOVESTORY YA LISA NA MABESTE IMETUFUNZA MENGI,ALL THE BEST YOU TWO!!
1 comment:
kwa kweli huyu dada aliumwa sana...ila she is always positive..all the best to her married life.
Post a Comment