Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, October 2, 2016

KWELI DIVA KAAMUA MWAKA HUU!!!


5 comments:

Anonymous said...

Huyu ana mamtatizo naona yuko very desparet na kitu fulani, mwanamke aliekamilika hawezi fanya mambo haya hatakama ni huo uzunguu mhhh mwanamke stara jamani.

comfort said...

Naona kama fasheni ya kukaa uchi imepamba moto nchi hii lol!

Anonymous said...

Tena imepamba moto kweli, mashindano ya kukaa uchi na kuonyesha hivyo vingoko vyao vya ukomavu, hata hao wazungu mnaowasema wanapenda kukaa hivyo, walaaa hawako hivyo, kama yuko Bech labda ndio atavaa nguo za kuogelea, nadhani hii ni ya kuiga mambo ya umarekazise, huko weusi wakaa uchi ni wengi,

Anonymous said...

Sura mbayaaaaa kama APES, then kakomaaa kama mbwa mwitu sasa ndo nini? mapaja na miguu hayaendani eti Diva sijui kajipaka mkorogo sura imemparama kama pilau ya hitma, jinga kabisa

Bintinyota said...

Mmmh ukae uchi ukiwa unavutia bas