Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, October 2, 2016

KWA LEVEL ULIYOFIKIA WHY EVEN DO THIS SHOW??

Show inauliza maswali ya kijinga tena sio kuuliza Bali kuropoka,,
No level ya heshima wala compasion,,
Why why why even go and do it na kama utafanya do it on your terms and not like this mdogo wangu dah ovyo kabisa!!,
Kwanza the background music is so loud hata humskii D vizuri,,
Mshawahi kumuona Beyonce kwa Wendy Williams?
Yaani it broke my heart to watch this skuweza maliza,am done!
Umeongea vitu vizuri na maendeleo yako but the platform is all wrong
Find a platform where unaweza kuongelea vitu vyako na vikasikikizwa sio kiudaku Bali ki proffesional zaidi,nimemaliza.com!

1 comment:

Anonymous said...

Diamond nisikuoneeeeeee tena kwenye hiiiiii show!!! Mwisho Leo! Hizi show waaachie kina Chidi Benz..... Nimemalizaaaaaa. Nenda kwenye show zinazojielewa Zenye platform ya matawi ya juuuuuu!!! Sijui kwa Tanzania ni zipiiii Ila hiiii ni big NO!