Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, October 11, 2016

KARIBUNI NYUMBANI KWA KAJALA,A GLIMPSE OF KAJALA!S HOME!!!

ILA EMELDA UNA MOYO DAH AU ULIMLAZIMISHA?
HATA KAMA NI NYODO HIZI ZIMEPITILIZA,REALLY?
MTU UNAHOJIWA KAMA VILE HUTAKI SI USEME TU,HJÄÄÄÄÄÄÄÄÄLP!,
BUT THE HOUSE IS NICE AND WELL DECORATED!,
Nyumba ni Nzuri na Mpangilio Pia!!

6 comments:

Bintinyota said...

Duh!!!
Ujasiriamali unahitaji elimu pia.
Ashukuru ana Jina.
Kwa nyodo hizooo

Anonymous said...

Mmmh Jamani...alimvaamia tu kufanya interview au???!! Yaani hata kama mimi ngekuwa huyo Emelda ningeondoka..najua mtasema atleast kapata interview lakini its a BIG NO..kwanza inaleta bad vibe hata ukiiona tu inakasirisha...kumbe huyu kajala anamadharau hivyo mmmxchew!!

anonymus said...

Hatariii!nuru we u msemakweli bila hofu wala aibu.big up!mwamini

NURU THE LIGHT said...

Yes ujasirimali Elimu na kama ya shule huna basi elmu dunia,ukarimu wako,unyenyekevu wako utakuletea wateja na ubora wa bidhaa yako!
That i am Mwamini,,thanks

Anonymous said...

Yaani interviwer na interviwee wote wameniboa. Sasa ndio nini!!!!! Mie naona hapo hakukuwa na interview, ilikuwa tunaonyeshwa anapoishi bi dada (interviwer anakwambia anaishi maisha ya kisuper star). Haya bwana...TNS

Anonymous said...

hahhahahhahahahaaa uwiiiiiiii, nyumba yake yaani mali yake au ndo yale yale wanakodishiwa nyumba za mamilioni wakati hawa hata uwanja wa miguu 10 kwa 15. Masupa Staa wa Bongo mtaishia maisha ya kuigiza hivyo hivyo siku zote. Mxcheeeee, hayo Maringo sasa kwa cha ajabu kipi alichonacho kwa mfano.

Huo ni Ushamba + Ulimbukeni.Com

Mamy Ake G