Yaani comfort weeeee acha tu. Kwani wenzetu huwa hawali au sie tunakula sana???!!! Yaani hiyo sketi nimeitamani ila tumbo mama simtank nyuma khaaa jamani haya bwana kutesa kwa zamu wacha nikomae na green Tea No Sugar labda nitapungua...TNS
TNS Nakugawaaaaaaaaa nimecheka eti Simtank๐๐๐๐ mnanipa rahaaaa anza kupunguza sukari trust me then mafuta meaning fake mafuta kwenye mavyakula halaf ntaweka a video ya ingredients tena natural ingredients kupunguza tumbo but zoezi pia ni lazima,ntarudi!
huyu Mrembo hakoseagi. naona hapo juu wadau unene umekua shida jama kweli mi wembamba siutaki napenda unene kiasi ili tatizo langu tumbo tu ndio nataka lipungue
Please do Nuru, na pia commitment jamani unaeza kufanya mazoezi but junk food huachi au you eat right for a week then unarudia makange ya kuku na fanta orange ya baridiiiiiiii.
8 comments:
Watu na miili yao lo!

T
Thanks my Nuru mbona utakuwa umenisaidia sana...TNS
Beautiful gal walah!!!!
AM...
Beautiful!mwamini
Post a Comment