Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, October 28, 2016

HAKUNA MTU AMBAYE HAJATENDWA NA MLIMWENGU MWENZAKE,TBT!!!


MY FIRST BONGO FLAVA VIDEO WHICH WAS SHOT IN ZANZIBAR,,
IT RAINED SO MUCH WHICH LEFT US WITH VERY LITTLE TIME TO SHOOT AND I WAS LEAVING THE DAY AFTER TO FLY BACK TO SWEDEN,,

VIDEO YANGU YA KWANZA YA BONGO FLAVA Na MARA YA KWA KWANZA KUSHOOT  TANZANIA NA DIRECTOR WA KITANZANIA kwani NILISHASHOOT VIDEOS SWEDEN MAANA NILIKUWA SIGNED TO A RECORD LABEL IN SWEDEN KAMA A SOLO ARTIST..
NASHKURU MUNGU MPAKA LEO NIMEKUWA NA MSIMAMO WANGU MZURI KWANI HII INDUSTRY UKIINGIA TU KAMA KIBOGOYO BASI JUA MENGI YATAKUKUTA ESPECIALLY KWA MSANII WA KIKE.
NASHKURU NIMEBAHATIKA KUPATA WATU WAZURI WHO UNDERSTOOD ME NA KUWEZA KUFANYA NAO KAZI NA MPAKA LEO TUKO CLOSE NA NAWAITA MARAFIKI ZANGU.
KUWA MWANAMKE UNAYEISHI NJE YA TANZANIA KUWEZA KUMANTAIN A CAREER NI A CHALLENGE NA INATAKIWA UWE MTU UNAYEJITAMBUA,JASIRI,UNA MSIMAMO BUT MOST IMPORTANTLY KUWA NA WATU OR A TEAM OF PEOPLE WANAOELEWA VISION YAKO,,
MSIONE WENGINE WAKIITWA MASTAA KWANI WALIYOYAFANYA AU KUYAPITIA WANAYAJUA WAO WENYEWE  KWANI HII INDUSTRY INA CHANGAMOTO NYINGI SANA.

11 comments:

Anonymous said...

Hakuna tofauti sana na muwonekano wako wa sasa like yesterday ..
Ni kweli kabisa Kama huna kitu ata washikaji wanakutenga. Uko bomgo nasikia mpaka uwe celebriity wanapitia mengi masikini...
Maisha ni safari ndefu...
AM....

Anonymous said...

Naupenda huu mwimbo hadi leo and I love you

NURU THE LIGHT said...

Oh really kumbe sijabadika sana hahahaha ahsante yes kunawaliotoka kwenye shida na kubadili maisha yao na wengine tamaa huwaponza,wengine umaarufu kuwapanda kichwani but ukijijuwa unataka nn then wanafki kaa nao mbali kwani wale ulokuwa ukila nao kesho watakula na mwengine so ni kutumia akili tuu na utamjua wa ukweli na fake ahhh AM wangu karudiiiiii😚

NURU THE LIGHT said...

Love you back anon😗😗😚

comfort said...

Nuru viamacho kama mchina kweli hujabadilika sana kidogo mwili ndy umeongezeka.

NURU THE LIGHT said...

Nimepata vinyama kdg ehhh hahahhahahahah bongo wananiitaga mchina huwa nawamind lol

Anonymous said...

You have a beautiful voice rudi studio tena basi we still need to hear you in 2016 kabla mwaka haujaisha (wink wink) but seriously fanya project ya recording I will buy your album. Watz wachache sana wanauza album Amazon au Itunes nilimkuta Jide mitaa hiyo like 5yrs ago nilifurahi sana nikanunua I need to add yours...CinTea

Anonymous said...

Heheheheheheh huu mwimbo kumbe uliuimba wewe????!!!!! Hongera mwaya uko na sauti nzuri sana sana. Endelea kuimba bwana utupe raha maana siku hizi waimbaji wakike wapo wapo tu hawaeleweki, na hivi wenye mziki wao wanakaza hali ndio inazidi kuwa mbaya...TNS

Tabi said...

Hii ni Mara yangu ya kwanza kuuona huu mwimbo,yaani Nuru hujabadilika kabisa,sauti yako yamkutoa nyoka pangoni.. beautiful,

anonymus said...

Nina mengi yalipakazwa juu yako hasa lile kubwa ndio nikapata hamu yakufuatilia zaidi. Nikajikuta kwa hì blog tangu hapo nawaheshimu wazushi na wanafiki.ni wa kukaa nao mbali.!mwamini

NURU THE LIGHT said...

Hahahhahahahah alaaaa kumbe basi barabar nashkuru umekuwa mkweli maana ushakuwa mwanafamilia