Congrats!!!! Mimi niko na glass ya ubuyu wa Shilawadu na kula , na subili D'wikend chatshow YouTube ndio nitaelewa vizuri...LOL!!!! Ahsante Nuru kwa kushea. nasi, kweli The light blog ni rahaa tupu. AM....
wamejitahidi sana kujibadilisha kimavazi na kufanya kazi ila hapa kwa masifa bado wanaharibu jamani zari anakazi ! watu wanapirika kama wana ADHD! hongera zao kwa mafanikio though!
Nimeona uvivu kuangalia cause najua nitakasirika iniharibia Thursday yangu but why unaonyesha kila mtu personal things unazonunua? Do we have to know? halafu ukifilisika tuanze kukusema. Mama yangu amenifundisha kitu kizuri sana katika maisha yake kwamba usijipandishe wala usijionyeshe iko siku watakuja kuona wenyewe na kukuheshimu.Na kama maisha yatabadilika hakuna atakayejua. Wazazi wangu wanajiweza vizuri sana lakini Daladala, bajaji hata mabasi ya mwendokasi wanapanda bila shida na ukiwaona wala huwezi kujua walichonacho na wanangu ninawafundisha hivyo hivyo, ishi maisha ya kawaida sio ukifilisika unaanza kutoa maelezo kabla hujaulizwa...CinTea
Nimefurahi sana kuwa umecoment tena mpenzi kwani ulijibiwa then na after watching this bado tu unahitaji kujibiwa tena atii hahahah jibu si unalo tayari damn girl wadau walishakujibu so deal with that mbona tuko on the same side atii,,
Hahahahhahahahah yaani dogo kanichekesha sana duuuh he was so excited mpaka imepitiliza. What can I say???..., I am happy for him ila duuh. Mzungu wa watu kajuta kuwafahamu maana alikuwa anaongea peke yake. Ila dogo inabidi abadilike asiendelee hivi but nani wa kumbadilisha ikiwa na meneja nao ndio mulemuleee?? Mama mjengo mrembo mie nilijua kujiedit kumbe kitu natural. Namtakia kila la kheri dogo Mungu azidi kumfungulia njia...TNS
Good for him, hopefully he will inspire others to work harder on their craft.... the kitchen is the only place I liked ... didn't like the layout of the rest of the house maybe it will look different with furniture
Ngoja aonyeshe tu ili nawengine waanze kufanya vitu vya maana waache show off za kijinga mtandaoni, i hope hata underground wanaokuja watataka kufanya kama yeye katika mswala ya uwekezaji. uswahili ndo hivyo tena atakuja kuacha polepole ndo mwendo, hongera diamond -- ambutterfly
Sielewi side yenu coz for what I think any show off of any kind to me ni ushamba. Iwe umepost hela au unashow off kihiv. Kuna best, civil and fun way to show wat u gat nawewe unajua, so next time muwe na majibu yasiowafunga
17 comments:
Hongera zake ila mswahili ni mswahili tu
Congrats!!!!
Mimi niko na glass ya ubuyu wa Shilawadu na kula , na subili D'wikend chatshow YouTube ndio nitaelewa vizuri...LOL!!!!
Ahsante Nuru kwa kushea. nasi, kweli The light blog ni rahaa tupu.
AM....
Hongera kwakweli but kweli you can take a man out of the village but you can never take the villageness out of him
Bora Zari alivyokuja huyo mzungu kaongeaa wapi watu wako busy na ushamba dah dogo nampenda ila ananiangusha na hizi show off
wamejitahidi sana kujibadilisha kimavazi na kufanya kazi ila hapa kwa masifa bado wanaharibu jamani zari anakazi ! watu wanapirika kama wana ADHD! hongera zao kwa mafanikio though!
Nimeona uvivu kuangalia cause najua nitakasirika iniharibia Thursday yangu but why unaonyesha kila mtu personal things unazonunua? Do we have to know? halafu ukifilisika tuanze kukusema.
Mama yangu amenifundisha kitu kizuri sana katika maisha yake kwamba usijipandishe wala usijionyeshe iko siku watakuja kuona wenyewe na kukuheshimu.Na kama maisha yatabadilika hakuna atakayejua. Wazazi wangu wanajiweza vizuri sana lakini Daladala, bajaji hata mabasi ya mwendokasi wanapanda bila shida na ukiwaona wala huwezi kujua walichonacho na wanangu ninawafundisha hivyo hivyo, ishi maisha ya kawaida sio ukifilisika unaanza kutoa maelezo kabla hujaulizwa...CinTea
Mlisema hivii kuonyesha hela ndio ushamba ila kuonyesha ulivyozitumia sio ushamba, tena humu humu niliuliza, so msilaumu huu uzungu atii...
Nimefurahi sana kuwa umecoment tena mpenzi kwani ulijibiwa then na after watching this bado tu unahitaji kujibiwa tena atii hahahah jibu si unalo tayari damn girl wadau walishakujibu so deal with that mbona tuko on the same side atii,,
Hahahahhahahahah yaani dogo kanichekesha sana duuuh he was so excited mpaka imepitiliza. What can I say???..., I am happy for him ila duuh. Mzungu wa watu kajuta kuwafahamu maana alikuwa anaongea peke yake. Ila dogo inabidi abadilike asiendelee hivi but nani wa kumbadilisha ikiwa na meneja nao ndio mulemuleee?? Mama mjengo mrembo mie nilijua kujiedit kumbe kitu natural. Namtakia kila la kheri dogo Mungu azidi kumfungulia njia...TNS
Heeeeeeee nilisahau kushukuru, asante Nuru kwa kushare nasi maana nimejikuta nacheka peke yangu...TNS
Karibuni wapendwa,,,
Good for him, hopefully he will inspire others to work harder on their craft.... the kitchen is the only place I liked ... didn't like the layout of the rest of the house maybe it will look different with furniture
Ngoja aonyeshe tu ili nawengine waanze kufanya vitu vya maana waache show off za kijinga mtandaoni, i hope hata underground wanaokuja watataka kufanya kama yeye katika mswala ya uwekezaji. uswahili ndo hivyo tena atakuja kuacha polepole ndo mwendo, hongera diamond -- ambutterfly
Sielewi side yenu coz for what I think any show off of any kind to me ni ushamba. Iwe umepost hela au unashow off kihiv. Kuna best, civil and fun way to show wat u gat nawewe unajua, so next time muwe na majibu yasiowafunga
Nyieee wadau wote mnaokasilika MNA wivu wasahili sana alafu MNA maisha magumu mnaumia mind akipost then nyie muacheni coz ni star
Yaani wote mliokasilika mnamuonea wivu eti nyumba ya kawaida sana na wakati hata kibanda hamna poor waswahili nyie yule ni super star mpooooo
Nyieee wadau wote mnaokasilika MNA wivu wasahili sana alafu MNA maisha magumu mnaumia mind akipost then nyie muacheni coz ni star
Post a Comment