Nzi akiacha upuuzi anaweza tengeza asali siku moja. ...!mwamini
Naah hata akijaliwa kutengeneza asali hawezi acha asili yake kwenye shombo, itakuwa inamuita tu...CinTea
Hahahahahaha nyie watu mwamin na CinTea co wa kisport sport mmenichekesha aki..Mwahhy
Hahahahaaaaaaaaa kamwe haiwezi tokea na ikitokea basi haitakuwa tamu kama ya nyuki kama sio chungu basi harufu yake hutaweza kuiweka ndani. Yale yale ya maziwa ya mende...TNS
Post a Comment
4 comments: