Hair Does Alot.
Whenever You want to re event yourself then get yourself a new hairstyles.
Nywele hutubadilisha muonekano wetu mno.
Ukitaka kubadilika basi nywele ni a big source halafu niwapeni siri hata kama umetoka simple kama nywele yako na nyusi zako ziko fixed basi muonekano wako utakuwa mzuri ila siongelei nyusi kaa... na nywele kaa bambucha jua kutofautisha ok,Byeeee!!
3 comments:
Very true nywele hutubadilisha sana sura inakua tofauti kabisaa. Amependeza
Kama hiyo pic ya kwanza ndio kanoga hatariiii
True simple but sure.
Uwa naona nikiweka mambo vizuri palee ktk nyusi, japo sipak makeup wala kuacha nywele wazi. But kutoka Mukide
Post a Comment