AM WITH MY BUDDY MR SAM A.K.A UNCLE SAM AT THE REHAB CENTER WHERE HE NEEDS TO DO HIS DAILY EXCERSISES TO IMPROVE HIS MOVEMENT.
THE STAFF IS GREAT AND VERY PROFFESIONAL AND THE SPIRIT IS VERY HIGH AND POSITIVE,JAG ÄR KÄR!!
NIKO NA UNCLE SAM KWENYE REHAB FACILITY HUKU AKIFANYIWA MAZOEZI YA AINA TOFAUTI ILI AWEZE KUIMPROVE BAADA YA KUPATA STROKE,,
KILA KUKICHA NAJIFUNZA MAPYA NA HAPA TUKO WATU TOFAUTI WENGINE WALIPATA AJALI,WENGINE VITU MBALI MBALI SO ITS A GREAT ATMOSPHERE HERE,,
5 comments:
I wish tungekuwa na facilities kama hizi zilizo fully equipped zaidi ya zilizopo nyumbani na watoa huduma kwa moyo.Lakini suala dogo tu la kukosekana kwa dawa za kawaida na chanjo ni shida itakuwa hili? Someday tutafika though, polepole ndio mwendo watu wakiweza kubadilisha mindsets na kuacha ubinafsi mambo mengi ya maendeleo yanawezekana
Labda njia ya kuelimisha watu ianzie shule za msingi kama sie tuliosoma zamani tulivyokuwa tunaimbishwa nyimbo za Tanu na CCM tunazokichwani mpaka leo ndio watu wataelewa madhara ya ubinafsi, wizi, kuthamini kazi na mali za umma, kujishughulisha na mambo mengine yatapungua...CinTea
Uncle Sam atapona tu na kurudia hali yake ya kawaida , will keep him in prayers...CinTea
Kuna vitu vingi tungeweza fanya for example ss tulioko nje tungeweza fungua taasisi just for the people na hela inayoingia izunguke kucover the coasts tu mtu yoyote asiprofit iwe ya wananchi especially kwenye sekta ya dawa,rehab,elimu,hospital na expertis ila unaanza wapi?
MTU kutoa pound 5 inamuuma lkn atakunywa pombe hata ya 50pounds
Mtu atakula bata la million tz lkn mwambie kuna mama anahitaji ada ya elfu 20 ya shule za serikali hakupiiii
Kuna mdada us anafanya anajitolea katengeneza visima vijijini
Kawaletea mashine lkn kodi inamuumiza kwann mtu wa hivi mwenye nia ya kusaidia wanamkandamiza pia ndio ujue serikali yetu pia hawana huruma na wananchi
Watanzania wanajifanya wana mioyo ila hapana serikali yenyewe pia ni jipu ubinafsi umetawala sana
Mama cheza za wenzetu zina mvuto...kwetu ni bàlaa.kuna haja ya kujitoa kwa dhati kwa faida ya binadamu wengine!mwamini
Post a Comment