Mwanzo nlisema nikae kimya ila kuna umuhimu wa kuongea..
Diamond mdogo wangu mafanikio yako usiyaminimize by kupost maneno kama haya kwani kama kuna baadhi ya watu ambao hawakuamini kwamba hii ni Mali yako basi that is their problem laasivyo kila siku utakuwa ukishindana na watu kwa kuwajibu na kwanini UFANYE hivyo wakati una mambo muhim zaidi?
Concetrate na safari yako kama msanii na KUJENGA brand yako na mafanikio yako but usijishushe by these actions it is very unnecessary because Mafanikio yako yanasauti Kubwa sana na yanaandika historia ya kitabu cha maisha yako just fine,Let them make the noise while you let your Success Speak by Itself,I wish you all the Best!!
6 comments:
Huyu msanii ni mswahili sana
Sawa kabisa Fenesi hata ulipulizie uturi litatoa harufu tyu, kha! ndio kwanza Tarehe 26 October...CinTea
I agree na nuru the light that D needs to ignore them, but I think sometimes it's too much....lakini wewe hapo juu unaesema ni mswahili, try to put yourself in his shoes. Mtu mkamuongelea diamond everyday. Give this guy a brake, he is also a human being. Vitu vingapi Kiba anafanya kwa kutumia watu wengine ili wafanye his dirty work. Anamdis diamond everyday au kwa sababu atumii Jina lake, anatumia watu wake kumfanyia his dirty work ndio maana mnamuona ni perfect. It's time to give Diamond a credit and respect, isinge kuwa yeye mziki wetu ungekuwa bado huko chini sana. Halafu unasema D mi mswahili go back to dougiemaster instagram u check post aliyo postjana asubuhi (video ya kijana akiimba mashahiri ya kumdiss diamond na nyumba yake....and after few min wa kapost nyumba ya kiba. So tell me who is behind this mess, it's about time kiba naye awe responsible for his dirty game. Yes D ni mswahili that's his culture what do you expect. ENOUGH WITH DIAMOND.
Kitu kingine mbona Kiba ka post nyumba yake leo, sijaona mtu yoyote anamfatilia??
Kweli Nuru yu gat a goood point alitakiwa akae kimya tu aonyeshe kwa vitendo kama hivi na si maneno. Siku zote fanya yako kwa vitendo na sio maneno mengi Diamond please wewe ni msanii mkubwa sana na hakuna anaekupata kwa sasa so Dont tell people your Dream or things show them like this. Acha uswahili mwingi bwana haipendezi tunakupenda sana.
Nampenda sana Dai yani hata aimbe vibaya mi nimoo tuu.Uswazi wake wacha tumwachie
Post a Comment