Kutiana aibu tu, kama mwanaume anaweza kujibu hivyo kwa mwanamke mwenzio kesho inaweza kuwa zamu yako. Atashindwa nini kujibu hivyo kwako kama aki fell out of love with you? Wake up my dear. Sijui labda mimi sizijui alama za nyakati ila ni mtazamo tu. Mwambie chura aongeze kikombe kingine kwa ajili yangu.Winnie
Yaani sielewei kwanini watu hawatanuki akili zao wanatanuka tu vitu vingine kama maumbo n.k. hivi unaachanaje na mtu wako then unaanza kumkashifu? mbona hujamkashifu enzi uko naye? wakati mnaenjoy mahaba mlikuwa kimya sasa mahaba yamehamia kwa wengine mapovu yanawatoka (both Lulu na Bond) sasa kama kila mtu ana wake mapovu ya nini? hebu acheni kujidhalilisha mitandaoni mijitu mizima kama nyie. ni aibu kuna underground matata, watoto sumuuuuu ndio watakiwa kuwa na drama kama zetu.mfyuuu. muoneni Nuhu amekuwa mtu mzima now no dramas. Nikiwashika nitawachapa viboko.
kuposti hayo matusi humu na wewe unayasambaza Nuru. walau sehemu zinazotaja matusi mazito uziwekee wino mweusi. We mstaarabu bana usitake hizo cheap instagrams posts zikuharibie taswira yako
Churaaaaaaaaaaaaa cup of tea no sugar as usual. I am speechless. Ndio yale yale watu wanakwenda chooni badala ya kutoa haja kubwa wanatoa akili haja kubwa wanahamishia kichwani, maana hata tukisema tatizo ni elimu tutakuwa tunawakosea ambao hawana elimu lakini bado wanajielewa. Nahisi haya ni mapepo yaliyotoroka kuzimu...TSN
8 comments:
Nikiamka niukute umeisha kwa kweli, hapana nangojea "Turumbu" akose urais ndio uishe lol...CinTea
Kutiana aibu tu, kama mwanaume anaweza kujibu hivyo kwa mwanamke mwenzio kesho inaweza kuwa zamu yako. Atashindwa nini kujibu hivyo kwako kama aki fell out of love with you? Wake up my dear. Sijui labda mimi sizijui alama za nyakati ila ni mtazamo tu. Mwambie chura aongeze kikombe kingine kwa ajili yangu.Winnie
Haya mambo co ya kisport sport aisee..
Watengeneza chai namie naomba nipatiwe iwe na tangawizi nyingi maana ibilisi keshaingia tena...
Yaani sielewei kwanini watu hawatanuki akili zao wanatanuka tu vitu vingine kama maumbo n.k. hivi unaachanaje na mtu wako then unaanza kumkashifu? mbona hujamkashifu enzi uko naye? wakati mnaenjoy mahaba mlikuwa kimya sasa mahaba yamehamia kwa wengine mapovu yanawatoka (both Lulu na Bond) sasa kama kila mtu ana wake mapovu ya nini? hebu acheni kujidhalilisha mitandaoni mijitu mizima kama nyie. ni aibu kuna underground matata, watoto sumuuuuu ndio watakiwa kuwa na drama kama zetu.mfyuuu. muoneni Nuhu amekuwa mtu mzima now no dramas. Nikiwashika nitawachapa viboko.
kuposti hayo matusi humu na wewe unayasambaza Nuru. walau sehemu zinazotaja matusi mazito uziwekee wino mweusi. We mstaarabu bana usitake hizo cheap instagrams posts zikuharibie taswira yako
Nishaitoa mpenzi,,shukran
Nimekupenda bure nuru the light..heshima kwako kwa hilo...!MWAMINI

Post a Comment