Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, October 14, 2016

BABA WA TAIFA JULIUS KAMBARAGE NYERERE,ETT EXEMPLARISK LEDARE!!!


Siku nzima nimekaa nikitafakari juu yako kuwa niongee nini ambacho bado hakijaandikwa kuhusu wewe Baba wa Taifa,,
Nadhan kuna watu bado mpaka leo hii hawajui how privileged they were meaning walitunukiwa zawadi gani na Mungu baba ili wewe uweze kuwaongoza hilo kuna baadhi ya watu bado hawajalitambua mpaka hII leo.
Kuna kaka mmoja alikuwa akipenda sana kukuongelea vibaya na hata kutaka kubadilisha mapenzi na heshma nilionayo kwako kwakukuongelea mabaya yako tu na kusahau yale mazuri pia uloitendea Tanzania.
Ulifariki maskini hicho ni kitu tosha cha kuonyesha kuwa hukuwa na Tamaa but ulitaka tu kuiongoza nchi yako KADRI uwezavyo.
Kila huyu kiumbe alivyokuwa akiongea mabaya yako nikawa nasema msamehe baba kwani hajui atendalo na mtu wa hivi kesho na keshokutwa ataniongelea hata mimi hivi hivi kwani hicho ndio akijuacho not knowing ajizibia barka kila anapofungua kinywa chake.
Tembea dunia nzima hakuna asiyemjua Nyerere the man is a well Known  leader despite him being dead for seventeen years up to date and for that I am proud.

With whats going on now in Tanzania Ningependa ungekuwepo kwani mengi yamebadilika na sio for the better but...
Not only were you exceptional but you were a great leder.
You were wise,strict,smart,patient and you could see things before they happened kwani mengi sana uliyatabiri kabla hayajatokea.
Tunakukumbuka na bado tutaendelea kukukumbuka na kukuenzi.
Upumzike salama na am sure Taifa lako bado tunakuhitaji ila ndio hivyo.
Ningepewa dakika 5 niongee na wewe ningefurahi sana kwani Ningependa ujue yale ambayo hukuambiwa wakati wa UHAI wako na baadae ikawa too late.
Julius Kambarage Nyerere I Salute You and I love you,nimemaliza.com!!

3 comments:

Anonymous said...

Kwa mambo yanavyokwenda, nafikiri angekuwepo angesema baadhi ya watu wachapwe viboko kwa kweli maana uongozi wa dot.com ndio umeiharibu nchi yetu kwa kweli ajipumzikie tu kwa amani yasasa yangemtanguliza bila amani...CinTea

Tabi said...

Well said Nuru,pumzika kwa Amani Baba wa Taifa letu

anonymus said...

Nyerere legacy imepotea hata aliyepo bado aenda back and forwad....!mwamini