Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, September 20, 2016

WOMEN WHOM I LOVE AND ARE AGING GRACEFULLY!!!

CECILY TYSON IS AN ACTRESS AND US 91 YEARS OLD AND FOR AFRICAN AMERICANS IN THE MOVIE INDUSTRY SHE IS A LEGEND..
CECILY TYSON NI MUIGIZAJI NA A LEGEND NA ANA MIAKA 91,,

 ANGELA BASSET IS AN ACTRESS BUT ALSO A DIRECTOR,,
MARRIED TO A FELLOW ACTOR AND THEY HAVE TWO CHILDREN,,
SHE IS 58 AND LOOKS AMAZING,,
ANGELA BASSET NI MUIGIZAJI NA DIRECTOR WA FILAMU
AMEOLEWA NA MUIGIZAJI MWENZAKE NA WANA WATOTO WAWILI
ANGELA ANA MIAKA 58 NA MWILI SURA STILL YUKO VIZURI SANA


 WITH HER HUSBAND ACTOR COURTNEY B VANCE,,


NICOLE MURPHY WHOM I CALL THE BODY IS 48 YEARS OLD,,
SHE IS A MODEL,ACTRESS,BUSINESS WOMAN AND WAS MARRIED TO ACTOR EDDIE MURPHY WHOM SHE HAS FIVE CHILDREN WITH,,
They Truly Examplifies what being a woman with a purpose means,,
They remind me that Age aint nothing but a number and what it means to be better with Age,,

NICOLE MURPHY ALIKUWA MKE WA MUIGIZAJI EDDIE MURPHY NA WANA WATOTO WA TANO NA WALIISHI KWENYE NDOA TAKRIBAN MIAKA KUMI NA MIWILI,,
ANA MIAKA 48 NA NI MODEL,MUIGIZAJI NA MJASIRIAMALI,,
YOTE TISA KUMI SHEPU YAKE TUUU ANA MWILI HATAREEEE,,
WOTE WATATU NIMEWACHAGUA KWASABABU DESPITE UMRI WAO WANAJIPENDA,WANAJIJALI NaWANAFANYA KAZI ZAO VIZURI.

3 comments:

Anonymous said...

Cecily Tyson at 91 wow just wow. and i love her.

N.K

Anonymous said...

Body Goals natamani kuji photoshop kwenye body ya Nicole.
T.

anonymus said...

Mh! Wana dongo zuri Lkn pamoja na matunzo nidhamu ya chakula na mazoezi ni muhimu vinginevyo tutaendelea kuzeeka bado watoto.mwamini