Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, September 13, 2016

WELL DONE SHILOLE,MFANO WA KUIGWA!!!

MSANII SHILOLE AKIWAPELEKA WASANII WENZAKE NYUMBANI KWA DADA YAKE IGUNGA AISEE WA KINA SHILOLE WAZURI SANA DADA YAKE IS ONE BEAUTIFUL WOMAN NA AMEONGEA POINT KUWA YEYE NI HUSTLER NA BONGE MOJA LA DEM

3 comments:

Anonymous said...

maisha ni kupigana, asante Shilole wewe ni mfano kwa vijana. Mungu nisaidie wakati unajituma. Ndio maana umefanikiwa I'm so proud of you as a woman. Kwa jitihada hizi utafika mbali. Mwenyezi Mungu akutangulie katika safari yako ya maisha. The best gift you can give yourself in life is to be what you are meant to be and you are doing that. All the best my dear.

Anonymous said...

Point tupu hapo juu nakubaliana na wewe kila kitu

Anonymous said...

I do really like Shilole, I think she is one of the confidence mwanamke na Tanzanian mwananamuziki I know.All the best