Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, September 22, 2016

WELL DONE KAJALA FOR BEING AN EXAMPLE!!!


Through her Instangram you can follow her workout routine and i think its good since shes being an example for healthy living,kudos to you!

Kiukweli Kajala nimegundua kwa mda sasa amekuwa akifanya mazoezi na unaona kabisa the transformation,,
Body type ya Kajala hatokuja kuwa kama Vee Money ila atabuild muscles,ata tone mwili wake meaning no tumbo,no nyama UZEMBE na atakaza mwili wake na kuwa fit.
Sijaona bongo movie mwengine well kasoro Ray na yeye lazma apewe Credit zake amejibadilisha mno through mazoezi,Be INSPIRED!,

1 comment:

Anonymous said...

I love Kajala na anabidii sana ya mazoezi tuakazane akina sie anatupa moyo kwa kweli na transformation inaonekana...CinTea