Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Friday, September 16, 2016

THE LAUNCH OF MOLOCAHO BY AMORETTE!!!


 THE OWNER AND THE WOMAN BEHIND AMORETTE,JACQUELINE N MENGI!!

 I FELL INLOVE WITH THIS PIECE,,
Nimekipenda sana kiti such a great piece,, AND THIS PIECE ASWELL,,AMORETTE IS A COMPANY WHICH DEALS WITH INTERIOR DESIGN,,
MOLOCAHO IS A BRAND WITHIN THE COMPANY THAT WILL DEAL WITH FURNITURES AND AMORETTE JUST LAUNCHED ITS STORE THAT WILL SELL UNIQUE PIECES TO IT!S COSTUMERS,ALL THE BEST JACQUELINE NTUYABALIWE MENGI!!
Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi kutoka kwenye kampuni yake Amorette ameanzisha brand mpya Molocaho ambayo itadeal na mambo ya furnitures na alhamisi hii wamezindua rasmi Molocaho na bidhaa zao ambazo zitapatikana dukani kwao.
Images bongo5.com na millardayo.com

8 comments:

Anonymous said...

Tunaomba adresi ya duka plz Nuru. Kuna sofa nimeipenda

NURU THE LIGHT said...

Duka liko seacliff,,

NURU THE LIGHT said...

Duka liko seacliff,,

Bintinyota said...

Masha'Allah

Anonymous said...

Yes Lord! This is what we all love to see.... Mambo ya kuua sura kwenye mitandao na kufuata ma group ya kishenziiii yamepitwa na wakaaaati! Ni wakati muafaka wa wanawake kufunguka kwa kujiajiri na kufanya mambo mazuriii na ya uhakikaaaaa! Mambo ya umbea, majungu, unafiki ni ya kizamaniiii sanaaaaa.... Jamani sasa hivi ni kuchapa kaazi na kuchacharikaaaa kwa Sanaa! Nimechoka kuona mwanamke mzima anatoa mitusi mi kubwaaaa kwenye mitandao au kuuza sura 24hrs! Am so proud of you Mrs Mengi! Mungu aibariki kaazi yako wakati wooote! By the way mie nimejiajiri nauza samaki za jumla na Kuku namshukuru mwenyezi Mungu.... #mwanamkechchrika #mwanamkawachamagurupu #mwanamkejitambue

Anonymous said...

Yes Lord! This is what we all love to see.... Mambo ya kuuza sura kwenye mitandao na kufuata ma group ya kishenziiii yamepitwa na wakaaaati! Ni wakati muafaka wa wanawake kufunguka kwa kujiajiri na kufanya mambo mazuriii na ya uhakikaaaaa! Mambo ya umbea, majungu, unafiki ni ya kizamaniiii sanaaaaa.... Jamani sasa hivi ni kuchapa kaazi na kuchacharikaaaa kwa Sanaa! Nimechoka kuona mwanamke mzima anatoa mitusi mi kubwaaaa kwenye mitandao au kuuza sura 24hrs! Am so proud of you Mrs Mengi! Mungu aibariki kaazi yako wakati wooote! By the way mie nimejiajiri nauza samaki za jumla na Kuku namshukuru mwenyezi Mungu.... #mwanamkechchrika #mwanamkawachamagurupu #mwanamkejitambue

Tabi said...

Hongera sana Jacqueline,umenipa moyo sana,Mwenyenzi Mungu akutangulie katika biashara zako

anonymus said...

Lovely indeed..!mwamini