TAKE ONE WITH VERA SIDIKA A.K.A QUEEN VEE BOSSET!!!
2 comments:
Anonymous
said...
Zamaradi wewe Kama wewe ni mzuri na mrembo Ila katika kaazi yako unaongea mnooooo Jaribu kuwaacha uliowaalika waongeee zaidi kulikoni wewe!!! You talk way too much! Pia unajirudia rudia too many times!!! Jaribu kuvuta pumziiiii! Huoni kina Oprah na kina Ellen wa huko Mambeleeee wanavyovuta pumziiiiii!!?
Nimempenda Vera kawa muwazi kiaina ukitaka kuwaziba watu mdomo sema ukweli au uongo uliokaribu na ukweli wajaze wenyewe!! Zama mtangazaji wa kibongo na so far the best kibongo bongo na hiyo style yake ndio inamfanya awe Zama tumpende tu kama alivyo napendaga uthubutu wake Ila Salama nampenda zaidi pamoja na kuonekana mgumu anakaubinadamu fulani kanako mfanya awe mtangazaji wa pekee
2 comments:
Zamaradi wewe Kama wewe ni mzuri na mrembo Ila katika kaazi yako unaongea mnooooo Jaribu kuwaacha uliowaalika waongeee zaidi kulikoni wewe!!! You talk way too much! Pia unajirudia rudia too many times!!! Jaribu kuvuta pumziiiii! Huoni kina Oprah na kina Ellen wa huko Mambeleeee wanavyovuta pumziiiiii!!?
Nimempenda Vera kawa muwazi kiaina ukitaka kuwaziba watu mdomo sema ukweli au uongo uliokaribu na ukweli wajaze wenyewe!!
Zama mtangazaji wa kibongo na so far the best kibongo bongo na hiyo style yake ndio inamfanya awe Zama tumpende tu kama alivyo napendaga uthubutu wake Ila Salama nampenda zaidi pamoja na kuonekana mgumu anakaubinadamu fulani kanako mfanya awe mtangazaji wa pekee
Post a Comment