Eh maskini hawa watu wa West wametuharibia familia zetu inahuzunisha. Hawa kina dada/mama wanakaa uchi na kupiga picha za uchi wakijilinganisha na watu wa Magharibi wenye pesa. Kila mmatumbi anataka kufanana na mtu wa Magharibi. Maskini waafrika tunatia huruma sana.Hatutaweza kuwa na thamani ulimwenguni kama tutaendelea kuiga tamaduni za watu wengine. Tunaonekana kituko, hao tunaowaiga wanatucheka sana na kutudharau. Nguo za uchi, nywele feki, kucha feki, rangi za mwili fake, tulichoshindwa ni kuwa na pesa nyingi kama hao tunaowaiga kila siku.
3 comments:
kwakweli sielewi hizi picha wanapiga za nini? sasa huyu anauza hizo chupi ama?
Yes at Vicky lungerie,,

Post a Comment