Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Thursday, September 29, 2016

REBECCA GYUMI, A WOMAN AND A HEROINETO MANY!!!TOFAUTI YAKE KATI YA MIMI NA WEWE NI KWAMBA YEYE ALITHUBUTU NA KUFANYA KWELI NA KULETA MABADILIKO KWA MSICHANA WA KESHO,,
INSTEAD YA KUPIGA MAKELELE MITANDAO SHE GOT UP AND DID IT AND FOR THAT NITAMPONGEZA ALWAYS MAANA KAWA SAUTI YA WENGI AMBAO BADO NI WASICHANA WENYE NDOTO,AM PROUD AND YOU MAKE ME PROUD REBECCA GYUMI BECAUSE FINALLY THE MOVEMENT HAS STARTED AND IT STARTED WITH YOU,ULIPO TUPO!!!

1 comment:

Anonymous said...

Amen atafika mbali sana mwanaharakati wetu. Mfumo dume inabidi tuanze kuubadili kuanzia ngazi ya majumbani mwetu. I am referring speech wa Waziri wa afya kuhusu jambo hili.