Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, September 11, 2016

ONE OF MY FAVOURITES,FROM ME TO YOU!!!


KATIKA PITA PITA YANGU NIMEONA KITU AMBACHO KIKIJIRUDIA MARA KWA MARA AND THAT IS MWANAMKE KUWA MAMA AU KUOLEWA,,
KILA SEHEMU UNAKUTA WATU WAKIKOMENT KAMA MTU AKIPOSTI MAHUSIANO YAKE JAMANI SI MUOWANE TU BASI,,
MTU AKIPOST MAHUSIANO YAKE BASI KAMA TAYARI WAKO KWENYE NDOA SWALI LA KUZAA LITAKUJA NA KAMA HAWAKO KWENYE NDOA BASI SWALI LA NDOA LITAKUJA,,
WENGINE IMEFIKA HATUA WANAMSHAURI MTU ESPECIALLY KAMA YUKO KWENYE MAHUSIANO NA MWANAUME MWENYE HELA KWA KUSEMA MZALIE HATA TEAM YA MPIRA HELA SI IPO,,AS IF WATAKUSAIDIA KULE SO SAD!!

KUNA WATU AM SURE WANAJIULIZA KWANINI NURU HAJAZAA?
KUNA WATU WANAJIULIZA KWANINI NURU HAJAOLEWA?
KUNA WATU AMBAO WANANIELEWA NA MPAKA KUTAMANI NINAVYOISHI MIMI KWA MAAMUZI NILIYOYACHUKUA MPAKA SASA HIVI,,
KUNA WATU HAWATOKUJA KUNIELEWA KAMWE AND THAT IS FINE BY ME,,
WATAKAONIELEWA NI SAWA NA WASIONIELEWA PIA NI SAWA,,
MAISHANI KAMA MWANAMKE TUNA CHANGAMOTO NYINGI SANA ESPECIALLY KAMA MWANAMKE WA KIAFRICA,,
MIMI NI MTOTO NILIYECHANGANYA NA UPANDE WA BABA NA MAMA WOTE WANA CULTURE NA TAMADUNI AMBAZO NI TOFAUTI NA MIMI NINAVYOISHI BUT LET ME ASSURE YOU HAKUNA HATA SIKU MOJA MZAZI WANGU KALALAMIKA WALA KUNIONA WA AJABU NA HICHO KINASAIDIA SANA,,
KINGINE WAZAZI WANACHANGIA SANA KWENYE KUJIAMINI NA KUJITAMBUA KWANGU KWANI MFANO HAI NINAYO,,
JAPOKUWA NIMEKULIA NJE HIYO HAIMAANISHI KUWA IT MAKES ME AN EXCEPTIONAL HAPANA MACHONI MWA CULTURE YETU AS LONG AS MIMI NI MWANAMKE BASI WATANIMINIMIZE KWENYE NDOA NA UZAZI,SAD BUT TRUE!!

MNAJUA KWAMBA KULIKUWA NA TIME WANAWAKE WALIKUWA HAWARUHUSIWI KUSOMA LET ALONE KUPIGA KURA SASA MNANISHANGAZA SANA KIZAZI KIPYA KWA KUTAKA KUFANYA VITU FLANI JUST BECAUSE NYIE NI WANAWAKE,,
KUNA NCHI LEO HII WANAWAKE HAWARUHUSIWI KUENDESHA GARI,IMAGINE THAT!!
UTAKUTA WANAWAKE NDIO THE BIG ADVOCATES NA WAPIGA MAKELELE MASHUHURI KWENYE SWALA LA KUZAA AU NDOA,,
HIVI KWELI 2016 BADO TUU MNAJIVALUE KWENYE KUWA MKE WA MTU TU?
WHAT HAPPENED TO KUWA NA KILA KITU MEANING KUWA MWANAMKE,MAMA,MKE,MJASIRIAMALI,SIO TEGEMEZI,KUWA NA NDOTO,MIPANGILIO NA MALENGO.
KWANI NANI ALIWADANGANYA KUWA HAMUWEZI KUWA NA VYOTE?..

KUNA DAMU IMEPITA ILI WEWE LEO UWEZE KUSOMA ILA WEWE UNACHAGUA KUTUMIA MWILI WAKO KUPATA RIZKI AU MENGINE,,
TUKIANZA WASIFIA KINA FLANI NA KUWAPA TOO MUCH ATTENTION JE MAMA MUUZA MCHICHA ATAJITHAMINI LINI?
TUKIANZA MSIFIA ALIYEOLEWA NA TAJIRI WAKATI HAKUWEPO NAE WAKATI KAANZA KUZITAFUTA NA KUMSIFIA KUWA AMETOKA KIMAISHA JE MSICHANA ALIOPO DARASANI TUNAMFUNDISHA NINI?
IT IS YOUR WANTING AND DESIRE KUWA MKE NDIOMAANA HATA HAWA VIUMBE AT TIMES HAWAWATHAMINI MAANA WAMEHSAJUA WEAKNESS YENU,,
UNAKUTA MTU ANAVUMILIA MENGI SANA ILIMRADI TU NA YEYE AITWE MRS TU,JAMANI NIMEYAONA NA KUYASHUHUDIA SO SIONGEI TUU,,
WANASEMA KAMA MAGETI YANGEKUWA YANAONGEA BASI YANGESEMA MENGI SANA,,

ALL IN ALL WHAT I WANT FOR YOU AS A WOMAN NI KUWA MWANAMKE UNAYEJITAMBUA NA KUJITHAMINI,WITH THESE TWO ELEMENTS BELIEVE ME HAUWEZI KUFELI KIMAISHA,,
KUWA MWANAMKE UNAYEISHI MAISHA ULIYOAMUA WEWE NA SIO JAMII,,
KUWA MWANAMKE AMBAYE USIJILIMIT BALI KUWA OPEN MINDED,,
KINGINE KUMBUKA KUWA WHAT YOU SEE KAMA MUHIM KWAKO BASI SIO LAZIMA IWE HIVYO KWA MWENZAKO,,
WATU WANA NDOTO NA MTIZAMO TOFAUTI SO AT TIMES JIFUNDISHENI KUHESHIMU MAAMUZI YA WATU WENGINE NA KUELEWA KUTOFAUTISHA KATI YA MIMI NA YULE,,
ANZENI KUWA ROLEMODELS WAZURI KWA WATOTO WENU WA KIKE KWANI MTOTO HUIGA VITENDO NA SIO MANENO,,
KAMA WANAWAKE PIA JIFUNZENI KUPENDANA NA KUWA NA UMOJA NA KUSAPOTIANA KWAKWELI NIMEMALIZA.COM!!!

3 comments:

Anonymous said...

Da Nuru ahsante tunatakiwa hili swala tulitizame kwa mtazamo chanya sana bado hatuja advance kwenye suala la mahusiano

Anonymous said...

Well said the light

Anonymous said...

Ndoa ni kitu kizuri sana kama utaipatia na mtu mtakayekuwa mwili mmoja