Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, September 21, 2016

OH DEAR,CHAI VELE VELE HOT!!!

SASA ZARI HAPA UNAMUAIBISHA NANI,MCHEPUKO AU MPENZI WAKO?
SASA BY POSTING THIS FOR THE WORLD TO SEE UNAGAIN NINI?
KAMA HAO WATU NI CHEAP WHAT DOES THAT SAY ABOUT YOUR MAN?
KAMA HAO NI CHEAP NANI ALIWAFUNGULIA MLANGO,AKAWAKARIBISHA NDANI?
KAMA HAO NI CHEAP BABA MTOTO WAKO AMBAE ANAJUA UNA MIMBA YA PILI NA BADO AKALETA CHEAP NDANI YA CHUMBA NA SIO SEBULE YEYE TUMUITAJE?
KWENYE UKWELI TUONGEENI UKWELI KUNA VITU USIVIWEKE HADHARANI UKADHANIA UNAMDHALILISHA AMBAYE ANATAKA KUKUDHALILISHA WEWE,,
HUO MCHEPUKO UMEACHA MAKUSUDI ILI UONE,THATS HOW THEY OPERATE!
SI ULISEMA HAWAPOSTIWI BASI SASA UMEINGIA KWENYE MTEGO WAO KWA KUPOST UCHAFU WAO,WAZIDI AKILI NEXT TIME!
SOMETIMES KUWENI NA AKILI HAKUNA HATA SIKU MOJA MCHEPUKO ATAKUWA NA  IMANI NA WEWE NI WACHACHE SANA ESPECIALLY KWA MAHUSIANO YENU YALIYO PUBLIC KWA ULIMWENGU WOTE,,
WHEN YOUR SHAMING THE OTHER WOMAN YOU ARE ACTUALLY SHAMING THE RELATIONSHIP AND THE UNION That you sodomly share with your man,,
UKIAMUA KUFANYA HIVI BASI UWE TAYARI KUWA ULISHAFANYA MAAMUZI YAKUACHANA NA THE CHEAP UNAYOIONGELEA LAASIVYO MCHANE KIMYA KIMYA BILA ULIMWENGU KUJUA,NIMEMALIZA.COM!!!

8 comments:

anonymus said...

Kunguru hafugiki!mwamini

Anonymous said...

Guurrrlll when I saw this I was so shocked, shocked that she would post it..... but again we don't know the relationship agreement that they have!!

Anonymous said...

Vitu vingine vinauma mpaka unachanganyikiwa. Unajikuta unafanya kitu,baadaye unajuta kabisa. Na hormones za mimba hazisaidii. Mungu amtunze ajifungue salama.
It's also past time to make some hard decisions.
Ni kitu kimoja wewe mtu mzima ukubali mateso, but watoto no way!

Anonymous said...

HAAAA WELCOME TANZANIA. WHO IS CHEAP YOU OR ....
YOU LEFT IVAN EXPENSIVE MAN
....DIAMOND IS PLAY NOT
UTASHAAAA .
NURU MWACHE MSHAMBAAA HIYO NDO ATAJUA SALOME KABANA AU KABANANA

Anonymous said...

Wenzenu wanatafuta kiki washazoea kila siku watu wawazungumzie wao. Mtu yoyote mwenye akili timamu hawezi fanya huo ujinga maana hapo si anajivua nguo mwenyewe kuonesha kuwa baby dad chupi mkononi!!!!!!!Chura one cup of tea no sugar€€€€€€

Anonymous said...

huyu mganda kanitoka kama ganda la ndizi,....msonyooo!!!! aliingia statehouse kwa dharau akajua yeye mzuri sana na mimba yake juu akadhani diamond hatamcheat...poleee sana kibibi wewe!!! utaishia kukimbizana labor wenzio wana pika na kupakua!!sidhani kama huyu demu ameenda shule aiseeee..!!!!mjingaaa mnoooo tena mama wa watoto wa kiume wa3 lakini kama za teenager

Anonymous said...

Sasa kwa mfano ilikuwa Bi Sandra kazisahau alipokwenda kumsafishia mwanaye chumba ndio atasema nini? Au Esma maana asidhani ni mchepuko tu. Ni mimba ina mstress na maskini ya Mungu kaingia choo cha kiume sijui msameheni tu bure... CinTea

Anonymous said...

Chaaa how I used to admire this woman, I aspired to be her ila what she has become is lowest of low bora tufanye sisi ambao hatujulikani (I dont advise it either) but zari kajiaibishaaaaaaa kila page ni huu ujinga I feel sorry for her and that Diamond hana respect chembe for her baby mama...This is stupid for everyone involved
T