Mwenzangu huyoooooo, ,
I HAD COMPANY,,
NILISEMA I WILL WALK AND DO WORKOUT SESSION ILA AM NOT A GYM PERSON NA SASA HIVI YOU CAN EXCERSISE AT HOME NI WEWE TU KUAMUA NA MWANZO ALWAYS NI MGUMU,,
Ni dakika TANO ila nliona kama lisaa,,
Dakika 20 ukifanya a workout na kutembea hata 40min inatosha 4 times a week meaning mara nne kwa wiki,,
No comments:
Post a Comment