Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Sunday, September 11, 2016

MAMA WEMA KAONGEA KUTOKA MOYONI KAMA MWANAE ATAMSKILIZA ITAKUWA VYEMA,,

HUWEZI KOSOA MTOTO WA MWENZAKO KAMA HUJUI KUMKOSOA WAKO KWANZA SO KAMA MZAZI KAONYESHA MFANO MZURI NA SIO MZAZI ANAYEPENDA CHOCHOTE KILA MWANAE HUFANYA WHICH MEANS HATA YEYE KUNA VITU WEMA AKIFANYA VINAMUUMIZA NA HUMWAMBIA,,WELL DONE MAMA WEMA!!!

2 comments:

Anonymous said...

Sijaelewa waandishi wa habari wanini katika figisu ya familia, sasa hapo siametufaidisha dunia nzima. Sijawahi ona Tina Knowles akiongea na waandishi wa habari kuhusu mwanaye, anyways sitakaa nielewe style za kibongo bongo siku hizi. Na wanavyojua kuandika watasema Wema kachambwa na mama yake live, ya ngoswe tumwachie ngoswe

Bintinyota said...

Mzazi hufika sehemu akachoka!! Mzazi hufika sehemu akaamua liwalo na liwe. Mamake kishamsema sana kipembeni, labda anahisi kusemwa pembeni ndiyo kutunzwa, sasa acha mama ayamwage kama MTU WA kusoma atasoma, na kama sikio LA kufa!! Haya mama utakuwa katimiza wajibu wake.

Atakaposemwa na fans wake au haters kwa hili, maybe itasaidia abadirike. Koz tumechoka hata sisi