Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Tuesday, September 20, 2016

LBD!!!


13 comments:

Anonymous said...

Lady in Black Byurifuu ...CinTea

Anonymous said...

Salome yuko wapi?????

Kiliative Kaloleni said...

Pendeza Sana mdada

NURU THE LIGHT said...

Salome anapatikana kwenye nyimbo mpya ya Diamond😙😙

NURU THE LIGHT said...

Cinnamon TEA na Kili shukran wapendwa

Anonymous said...

Mguu mama duh, speechless. Umependeza sanaaaaaa mpaka hasira.Ninyooshe tu. Winnie

anonymus said...

Mapozi nawe we na mapozi nawe (in Mr blue's voice) mwamini

NURU THE LIGHT said...

Haswaaaaaaaa mwamini lol,,
Hahahahhahahh Winnie shukran

Tabi said...

Umependeza sana Nuru,hii pic ya mwisho nimejikuta naanza kuimba wimbo Salome.. mweeh

NURU THE LIGHT said...

Haya song aaaaaaaaaa song aaaaaaaaaa wenye wivu wajinyonge na big g hahahhahahahah
Thank you Tabi

Anonymous said...

lovely look! jamani kiatu cha juu wapi hicho umependezaaa sasa last pic uwiiiii !

NURU THE LIGHT said...

Its from asos.com wana viatu na nguo nzuri sana on their website,,

Anonymous said...

Una ka shape Mashallah..