Genuine Nordic Vodka

Genuine Nordic Vodka

Wednesday, September 14, 2016

HII PICHA IMETREND SANA LEO ILA MIMI NINA MTIZAMO TOFAUTI!!!



Watu hukejeli kile wao pia hupenda au hufanya,,
Watu hukemea,kucheka na mengine mengi kuficha kile wao pia hufanya,,
Dunia ya leo almost 88% ya watu wanaedit na Kuedit picha zao kabla hawajazi post mitandaoni so whats so strange about this girl au kwavile yenu yamefichika yeye she got caught?,
Unafki bana acha utawale pale ukweli unapokuwa mgumu kuumeza na kuukubali!
Majuzi tuu kumetokea mtetemeko wa ardhi watu wamefariki did It Trend,thubutu!
Mnavipa vitu visivyo na Maana umuhimu while mtetemeko ni a serious issue,,
Who cares akijiedit kwani ukikutana naye si utaona,,
Na Kwanini asijiedit wakati Weusi bado haukubaliki mkikaa kutukana watu wenye original black colour zao kama kina Mose Iyobo,Barakah Da Prince na wengine wengi,,
Kweli Weusi safari bado ni ndefu Kujikubali as black people!

1 comment:

Anonymous said...

Hahahaaa..............weusi kama nani?
Nuru umeua.