Genuine Nordic Vodka
Tuesday, September 6, 2016
SHE IS MY HERO,ZULEIKHA PATEL I SALUTE YOU!!!
KARNE HII BADO WEUSI TUNAPIGANIA KUWA NA NYWELE ZETU NATURAL IMAGINE THAT,,
SHULE HII IN SOUTH AFRICA HAWATAKI WASICHANA WEUSI WAWEKE AFRO WANATAKA EITHER WATIE DAWA NYWELE ZAO AU MENGINE HIYO NDIO POLICY YA SHULE SO WANAFUNZI WA SHULE HII WAKAANDAMANA KU PROTEST,,
ZULEKHA AMBAYE ANA UMRI WA MIAKA 13 AMEKUWA SURA YA HII MOVEMENT BAADA YA PICHA YAKE KUSAMBAA KWENYE SOCIAL MEDIA MAANA POLISI WALIITWA NA YEYE AKASEMA SAWA TUSHIKENI WOTE,,
IMAGINE MIAKA 13 NA YUKO SO STRONG,MKIONGELEA UJASIRI HUU NDIO UJASIRI SIO WENGINE KUPIGA TU MAKELELE KUTWA KUCHWA BUT NO ACTIONS,,
WANAWAKE,WAZAZI WANALALAMIKA MAANA WANASEMA WATOTO HAWA HAWAKUTAKIWA KUFANYA HIVI SISI TULITAKIWA KUFANYA HAYA ILI WAO WASIPITIE YALE TULOPITIA SISI,,
MKUMBUKE SHULE HII PRETORIA HIGH SCHOOL ZAMANI WALIKUWA WANAFUNZI NI WAZUNGU TU,,
THE STRUGGLE STILL CONTINUES BUT I SALUTE YOU ZULEKHA CAUSE YOU STARTED A MOVEMENT,,
WHAT AN INSPIRATION TO WITNESS SUCH STRENGTH,DETERMINATION AND SELFLOVE AND AWARNESS,NIMEMALIZA.COM!!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
1 comment:
Wow she is a hero and very strong dah weusi sijui tutaachwa kunyanyaswa lini
Post a Comment